Ubahili mwingine ni shida!!

Ubahili mwingine ni shida!!

Mr. BK

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
99
Reaction score
35
Mtoto: Mama, nimemuomba baba hela ya kusuka
akaninyoa nywele.
Mama: shukuru Mungu mwnangu, ungemuomba
hela ya whitedent angekung'oa meno...!!
 
Mtoto: Mama, nimemuomba baba hela ya kusuka
akaninyoa nywele.
Mama: shukuru Mungu mwnangu, ungemuomba
hela ya whitedent angekung'oa meno...!!

Mmh! Huyu mdingi atakuwa wa lile kabila fulani, bila shaka!
 
Back
Top Bottom