Ubahili hadi kwenye hatari...........!!

Ubahili hadi kwenye hatari...........!!

sinafungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2010
Posts
1,527
Reaction score
868
watu wote tunaishi kwa budget, ila kuna wengine ni zaidi ya hapo;
Mkinga mmoja alitumbukia kwenye kisima chenye kina kirefu, akapiga kelele mkewe akaja kumuokoa , alivyoona ni mbali akakimbia dukani kununua kamba, alivyorudi akamrushia mumewe, Mume akamuuliza mkewe huku anatapatapa kwenye maji, hii kamba umenunua shilingi ngapi.............? mke akamjibu nimenunua buku kwa mangi, akamwambia irudishe, kwa sanga wanauza jero fanya haraka nitazama.
 
Haha hah huyu mkinga ni nomaaa.!!
 
watu wote tunaishi
kwa budget, ila kuna wengine ni zaidi ya hapo;
Mkinga mmoja alitumbukia kwenye kisima chenye kina kirefu,
akapiga kelele mkewe akaja kumuokoa , alivyoona ni mbali
akakimbia dukani kununua kamba, alivyorudi akamrushia mumewe,
Mume akamuuliza mkewe huku anatapatapa kwenye maji, hii kamba
umenunua shilingi ngapi.............? mke akamjibu nimenunua
buku kwa mangi, akamwambia irudishe, kwa sanga wanauza jero
fanya haraka nitazama.

makubwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom