Ubaharia wa kwenye simu

Hawa watoto zetu jamani, unadhalilika kwa 5000 au 10000
 
Hii imetoka kwenye kanuni 30.10-17 kwenye mwongozo wa mabaharia
 
Hawa watoto zetu jamani, unadhalilika kwa 5000 au 10000
Hahaha aisee manzi anaesubiria kwenda chuo enzi hizi za magu kila ukikutana nae kupiga nae stori tu unamwachia 5000 au 10000 ya boda boda wakati unajua anatembea kwa mguu kafika home ukimwambia tuonane hapingi aisee..ila siku moja alinikazia nimempa 10000 akaniambia naomba niongezee 10000 ingine kwaio mnyamwezi nikamwongezea jumla 20000 nikala mate tuu hahaha
 
Nilishawahi kukutana na hii changamoto katika ubaharia wangu kwa njia ya simu:-
  • Wewe ni nani
  • Unataka nini
  • Ongea kama mwanaume
  • Nina kublock sasa hivi
kama nyie iliwakuta mliitatua vipi?
Sikuzote kauna mwanamke yyte duniani anae weza kumkataa mwanaume naukiona kakukataa basi ujeue huja fuata protocol
Ukifuata protocol hawezi kukukataa
 
Sikuzote kauna mwanamke yyte duniani anae weza kumkataa mwanaume naukiona kakukataa basi ujeue huja fuata protocol
Ukifuata protocol hawezi kukukataa
Weka hizo protocol tuzifuate mkuu
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]we ni hatari,
Mbinu zangu hizi nawabutua sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…