Ubaharia wa kwenye simu

Ni kweli mkuu,pia umri uwa unachangia mtu kuwa na mbwembwe nyingi.
 
ha ha ha ha ha
 
Huh huyu msela mbinu zake za kibaharia haswa
 
dah kummke wee jamaa nooma hapo awez kuruka
 
mi nilikua bingwa wa kupangua hizo sms hadi washkaji wakipata namba penye maswali wananipa niwasaidie
 
kuna mtoto mmoja alikua mkali kinoma alikua ndugu wa jamaa yangu sema yey anakaa mbali afu hawako karibu saana. jamaa akampatia namba akanambia mtoto apendi ujinga ukishindwa kujieleza unachezea block. nika mcheck whatsp nikatuma mamb mrembo akajibu we nani mi Gift akanambia unataka nini kabla sijajibu nikachezea block....inaendelea
 
nikapiga kwa call za kawaida kaniweka blacklist nikaona isiwe tabu. ninamiliki line nne na hile niliyo mtaftia ilikua voda na kipindi hicho natumia gb whatsp moja nimeunga voda moja halotel.ikapita wiki moja nampeleleza kwenye account yake ya IG anapenda nini nikagundua kuwa anapenda saana photoshoot za studio na kuvaa nikamtafta tena akaniuliza we nani nikajitambulisha kwa jina lengine KENDRICK akaniuliza unataka nini...inaendelea
 
nikamwambia mimi ni photographer na ni designer na nimependa saana kazi zake nahitaji tufanye kazi. mtoto akajaa niligusa penyewe. akanambia ni mtumie kazi zangu nilizowai fanya. haikuwa tabu coz hata mimi nina picha nyiingi zenye nimepiga studio na kalii.basi baada ya kumtumia pic kazaa akadata na nikaongeza na chumvi kuwa nimeshawah fanya kazi na wasanii wakubwa kama bell9,young d nk. basi ndo nikamchanganya zaidi. nikadownload na picha za magauni mazuri mtandaoni nikamtumia nikamwambia hayo magauni ndo nime dsigner mwenyewe.....inaendelea
 
tukawa tunachat kila siku na alijaa kinoma na nikamdanganya naishi dar (na yeye alikua anakaa mbeya hapahapa).nikamwambia siku za mbele nitakuwa mbeya ko kama itawezekana tuonane. zikapita wiki mbili hivi mtoto kakolea kinoma ani anajua kasha toboa maisha kumbe mchizi namdanganya tu na kanizoea mda woote anataka tuchatg t. baada ya wiki mbili nikaacha kumjibu...inaendelea
 
dah kummke wee jamaa nooma hapo awez kuruka
Hii ilikua kitambo sana enzi hizo whatsapp haijulikani kivile nokia ya tochi sema colouree screen nikaja mpataga mtoto huyu wa kishua aisee si akaenda shule simu kaacha home mama yake akanivutia waya.."wewe nani? Unataka nini kwa mwanangu? Nitakufunga hahahaha sina ham nae yule manzi na jina nilikua nadanganya najiita laurence..hahaha
 
daah mtoto alipata shida saana sipokei simu simjibu sms nikakata mawasiliano kabisa baada ya wiki nikajipanga vzri kipindi hicho natumia infinix. nikaazima IPHONE6+ kwa jamaa yangu nikaweka kilakitu changu then nikampigia kuwa nipo mbeya naomba tuonane basi kwavile mwenye shida alikua yeye akakubali fasta nikamwambia aje hotel flan akaja nikamuagizia vinywaji msosi nikachukua na chumba nikala kirahisi kbsa.
 
Hahaha siku anaweza kukukuta umevaa makobazi na bukta unapuyanga zako mwakaleli hahahaha si mchezo
 
ahahahahaha mkuu sometime uongo unasaidia saana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…