Ubaharia wa kwenye simu

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,058
Reaction score
64,015
Nilishawahi kukutana na hii changamoto katika ubaharia wangu kwa njia ya simu:-
  • Wewe ni nani
  • Unataka nini
  • Ongea kama mwanaume
  • Nina kublock sasa hivi
kama nyie iliwakuta mliitatua vipi?
 
Nilishawahi kukutana na hii changamoto katika ubaharia wangu kwa njia ya simu:-
  • Wewe ni nani
  • Unataka nini
  • Ongea kama mwanaume
  • Nina kublock sasa hivi
kama nyie iliwakuta mliitatua vipi?
1.Mimi ndugu yako.
2.Nimepewa namba yako na mjomba ili nikutafute.

Namba gani unaitumia kwa M-Pesa ili nikutumie pesa kidogo ununue salio unitafute baadae kidogo?
- Hatukuongea vizuri zaidi ya kuwa very busy.

Kesho yake anakutana na simple & sweet words kidogo tu. Akaishia kupewa offer ya dinner, akakubali ila kwa hofu akaona aje na rafiki yake. Nami nikaenda na best, hivyo ngoma droo.

Kilichofuata Mabaharia tu ndiyo wataelewa hii sauti.

Hii ni mbinu ya 4 baada ya kutotumia zile za chini. Pia inategemeana na mtu na mtu.
 
ha ha ha ha ha
 
Kama hutaki kusema aliyekupa namba yangu nakata simu na usinipigie..
Mimi ... Namba yako kanipa rafiki yako
Yeye.. Nani si umtaje nina marafiki wengi?
Mimi...nikimtaja nitakosea sana aisee kama inawezekana tuonane jioni pale.......
Yeye...sina muda, anakata simu
Mimi...salio lako la mpesa MGSHIXYWA765 NI 15,000.....Nasindikizia na meseji usikose kuja ,kataa neno sio wito
Yeye...kimya
Baaadae sana jioni palee.......
Mimi natuma meseji umefika wapi?
Yeye ..weee kama luba subiri najiandaa
Mimi ....matayarisho itaendelea bia zinapoa
 
ha ha ha ha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…