abubakar m hassan
New Member
- Apr 18, 2015
- 2
- 0
Kwakweli Mimi kama mgeni ambae naishi afrika ya kusini tunapata tabu sana tuna pigwa na kuibiwa Mali zetu Serekali ya Tanzania wakiwa wamenyamaza kimya kama maji ya mtuungini wakati nchii zingine za Africa ikiwemo Malawi , monzambiq, na Nigeria wameonesha action ya kusupport RAIA wake wanaoishi south Africa kweli Tanzania inashindwa kuongea.