UBAGUZI wa RANGI na MAHUSIANO NG'AMBO.blacks VS whites.

UBAGUZI wa RANGI na MAHUSIANO NG'AMBO.blacks VS whites.

Wewe ni boya unajua ubaguzi hupo hata kwenye familia yako kubali au kataa

Hivi kulikuwa na ulazima wowote kutumia neno boya??!!! Halafu umeelewa anachoongelea hapa? Suala la kuwa na ubaguzi kwenye familia unaweza kulifungulia uzi pia, hujakatazwa ati.
 
ubaguzi wa rangi umepata kuwepo katika kiwango cha juu kabisa HUKO AFRIKA KUSINI.
pamoja na vita kali ya kuupinga lakini ubaguzi bado upo ktk nchi za ng'ambo,weusi bado wanabaguliwa.
UBAGUZI WA RANGI UMEATHIRI HADI UHUSIANO NA MAPENZI.
inasemekana mahali ambapo watu weusi wanaheshimika angalau ni MAREKANI na UINGELEZA.
kwingine hali ni mbaya zaidi.EVERY DAY WHEN YOU WAKE UP YOU MUST THINK OF YOUR BLACK COLOUR.
BRAZIL ndio nchi yenye watu wengi weusi kuliko nchi yoyote.
MAPENZI HAPA.
wanawake weusi hawawapendi wanaume weusi hutafta wanaume malaya weupe ili tu wazae watoto wasio weusi kabisa ili kupunguza ubaguzi wanaofanyiwa kwa kujaribu kubadili weusi wa NGOZI na NYWELE,wanaume weusi pia hutafta wanawake wa kizungu malaya ili wazae MULLATOES.
INAAMINIKA BRAZILI baada ya mda mrefu blacks and whites watapotea na kutakuwa na MASHOMBE TU,mana weusi hawataki waonekane weusi kwa sababu ya kubaguliwa(colour supremacy).UKIWA HAPA BONGO MAMBO NI TOFAUTI NA WENGI WADHANIVYO.

Nawaonea huruma ndugu zangu arboriginals dah kazi wanayo, nchi yao lkn wanaishi kama 4th world country
 
Wewe ni boya unajua ubaguzi hupo hata kwenye familia yako kubali au kataa

Kwani uko hapa kutukana ama kuchangia hoja?Kuwa mstaarabu,futa neno boya.Kutukana naweza sana lakini tabia hiyo huwa inatumiwa na watu wenye upeo mdogo wa kujenga hoja kama njia ya kujitetea.TOA HOJA UZITETEE.
 
Hebu fafanua hapo kwenye red
Hapa bongo(tanzania) watu wanadhani kule maisha ni murua kabisa bila shida wala karaha na mbaya zaidi hata wanaoenda kule hawasemi ukweli huku kukiwa na tatizo kubwa la ubaguzi wa rangi huko.
 
Rasism now a days is like a tradition gets passed down like recipes. The trick is you gotta know what to eat and what to leave on your plate! Otherwise youll be mad forever!!! The father of Rasism is hating and selfish. People hate each other Jewish for Jewish, White for White. Black for Black even Indian or Whatever!! We as a People a human we have a problems we feel our self we are better than others!! Group of People hate another one! Islamic hate Jewish! Jewish hate Christian or Islamic..So the Choice is yours what to deal with!!,,,,,,

Racism is more than selfish and hating,it goes to violence behaviour.
the racism based to colour is the most brutal ever on earth,in countries like Uruguay all blacks were killed after slavery and all carrebean countries with no blacks did murdered all the blacks,other racism are not a problem as colour racism,kama muislam utabaguliwa indonesia pamoja na uislamu wako kama wao kisa rangi yako.
 
EIYER.
majibu yako yanatosha kujua uelewa wako,hulielewi kiundani tatizo.
USAHIHI.""Nimesema inasemekana marekani na uk ndio angalau weusi wanaheshimika""
matumizi ya neno INASEMEKANA haitoi jibu la mwisho kuwa kidhaniwacho ndicho.NAONA HAPA HUKUELEWA.
Pia nikatumia neno ANGALAU na neno hili linaonyesha uafadhali kwa kulinganisha na sehemu zingine na halimaanishi hakuna kabisa ubaguzi.KWA MAELEZO HAYA HATA MTOTO WA DARASA LA TATU ATAKUWA AMENIELEWA.
kuhusu kubaguliwa kwa wachina,waarabu,wahindi nk najua sana LAKINI KUNDI PEKEE DUNIANI LINALOBAGULIWA NA MAKUNDI MENGINE YOTE NI KUNDI LA WATU WEUSI.na ndilo kundi linalopewa thamani ya mwisho kabisa kiasi cha wazungu="HONKEY" kulibatiza jina la "MONKEY"
The last class in all apartheid class is the class of the blacks.
Kwa hiyo weusi ndio wanaoathirika zaidi na ubaguzi kuliko makundi yote yanayobaguliwa.
KUHUSU OBAMA NA ALIPO USIFIKIRIE HABAGULIWI na kushinda kwake ni mada ingine of which i am also competent to argue ila si mada ngoja niiweke pembeni

Mkuu mie nabaguliwa sana hapa Tanzania na viongozi wangu kwa ajili ya umasikini wangu....Nabaguliwa tokana na Elimmu ndogo niliyonayo...khs Marekani na UK...sijakubaliana na wewe...je, umefuatilia nchi za Norway, denmark au na Germany?
 
Nani kakudanganya uingereza ukiwa half caste ndo inakua poa? uingereza (personal) experience hua wanawatenga hata hao half caste..unakuta tu mtoto anacheza tennis mwenyewe tu..sababu watoto wenzie hawataki fungana nae...ujerumani ndo hatare kuna watu hawajawahi muona mtu mweusi na mitaa mingine ukipita waweza hata chinjwa..!!!

Soma tena mada.
Umesoma nusunusu kwa maelezo haya ama hujaelewa.
Niliandika angalau USA NA UK ni afadhali kuliko maeneo mengine ambapo tatizo ni kubwa zaidi kama unavyoelezea ujerumani.
 
Nilipokuwa chuo mji fulani na state fulani na chuo fulani, most of my friends were Caucasian students ambao walinikaribisha vizuri tu na wali-make sure that nazoea mazingira mapya na nchi mpya bila matatizo. Majority of the black students walinitenga na wengine walinidharau sana na they treated me like shit.

1)Sasa hapa sijaelewa ni ubaguzi wa rangi gani......black American v/s black African? Huu nao ni ubaguzi wa rangi ndani ya rangi moja ama inakuwaje?

2)Nasikia kuna hotels/resorts hapohapo bongo sijui Unguja ambazo mswahili/black mzawa haruhusiwi kuingia. Je ni kweli zipo?

3) Jirani yangualikataliwa kumwoa bint mmoja walikuwa wakipendana sana kisa ndugu wa bint yule walisema ndugu yao ni Mngazija na ni shombe na katu hatoolewa na mtu wa Mrima/Bara ambaye ni mbantu na si shombe!

4) Jirani yangu ni redneck lakini anampenda Obama kama hana akili. Na kwangu mimi amekuwa mtu poa tu.

IMO nadhani suala la ubaguzi ni pana sana sababu huyo huyo kaburu ambao tunawaona ni wabaguzi wanaweza wakawa ni wema kwako na mweusi mwenzio akakubagua. Ubaguzi waweza kutendeka popote hata hapo Tanzania.
By the way my boss is a lady from Cape Town, South Africa ambae alihamia unyamwezini 10 years ago. Ni mtu poa sana tena sana na hajanibagua wala kunitenga in any way.
 
Mkuu mie nabaguliwa sana hapa Tanzania na viongozi wangu kwa ajili ya umasikini wangu....Nabaguliwa tokana na Elimmu ndogo niliyonayo...khs Marekani na UK...sijakubaliana na wewe...je, umefuatilia nchi za Norway, denmark au na Germany?

Kwinengo ukiacha marekani na uingeleza hali ni mbaya zaidi,Norway,Germany,Denmark,uruguay,italy,hispania nk hali ni mbaya zaidi.
kuhusu wewe kubaguliwa hapa sawa ila ubaguzi wa umasikini upo kila nchi ila hauna athari mbaya kama ubaguzi wa rangi.
Ni nafuu ya ubaguzi unaofanyiwa hapa kuliko ule wa rangi huko ng'ambo.vip ume google KKK?
 
VUVUZELA
Kwanza nikupe hongera kwa kufunguka,nataka hoja kama hizi.
BACK TO UA CLAIMS.
i gues there was in america.
KWA MAREKANI.
hali ilivyo.
black americans hate the whites,the whites hate black americans.
THE WHITES LOVE BLACKS FROM AFRICA THAN BLACK AMERICAN,
black americans hate the african blacks,The caucasian are too seggregated by the whites,but caucasian feel superior to the black americans because they at least have lighter skin with curly or wavy hair.
NAANZA KUJENGA HOJA KUPITIA MAELEZO YA HAPO JUU KUHUSU UKWELI.
black americans hawawezi kuwapenda wazungu kwa sababu wanaijua vizuri historia ya ukatili wa weupe,hata wazungu wanaelewa fika kuwa niga wanawachukia kwa sababu za kihistoria,ndio man ukitokea afrika wazungu hawakuchukii kama black americans,na black americans hawawapendi waafrica kwa sababu wanakuwa karibu na wazungu na hawachukiwi sana kuliko wao.
Caucasian wanabaguliwa na weupe na wao kiuweupe kdogo walichonacho wanakitumia kuwabagua niga na caucasian wana upendo kwa waafrika thn niga
 
VUVUZELA.
kuhusu ubaguzi mwingine wa huyo muoaji ni incidence chache na za upekee.
Kuhusu ubaguzi wa hotel hapa tanzania nikiri tu kuwa sifahamu na ninasikia kwako na kama ni dar naweza kusema hakuna kitu kama hicho,labda kama kuna anaejua hili atuletee maelezo
 
VUVUZELA.
kuhusu ubaguzi mwingine wa huyo muoaji ni incidence chache na za upekee.
Kuhusu ubaguzi wa hotel hapa tanzania nikiri tu kuwa sifahamu na ninasikia kwako na kama ni dar naweza kusema hakuna kitu kama hicho,labda kama kuna anaejua hili atuletee maelezo

Mkuu sio chache. Waulize wote waliotaka kuoa wangazija au wahindi watakuhabarisha
 
VUVUZELA.
sorry nilijibu nikiwa sijasoma sawasawa.
Narekebisha majibu yangu
WAHINDI WANATUBAGU,kwa hiyo maelezo yako sawa,wana ngozi nyeupe na nywele zilizolala,wale wahindi weusi angalau wana nywele zilizo lala na ndefu hivyo wanaona wapo bora kuliko sisi.
Kuhusu huyo mzungu kumpenda obama,kwanza si jambo la kawaida,ila niseme tu kuwa wapo wazungu wachache sana wenye upendo kwa waafrika mfano mzungu BILL CLINTON=The first black presdent in america,NOTED??
 
EIYER.
ni bahati mbaya sana hauelewi ni kwa kiasi gani tatizo la ubaguzi wa rangi linawaathiri weusi kiasi cha kufikia kuwa wanyonge sana

Hizo ni changamoto tu za kimaisha. Mtu akikubagua, dont care abt him/her, Just do your best hadi anaku-appreciate, tayari unakuwa unakuwa ushampa somo kwamba 'colour is nothing'!

Hlf ndugu yangu naomba ufahamu hili, huo ubaguzi unasababishwa na weusi kwa kupenda kwao kuwatukuza weupe.

Kuna topic uliiweka hapa JF kuhusu nafasi ya mke na mama, nilitamani sana nikupe mfano mmoja halisi wa rafiki yangu, black south african, lkn nikaona ni story ndefu. Naona kwa mfano huo huenda ukakusaidia kupata majibu ya maswali yako, hili na lile la mwanzo maana stori inagusia pote. Ni ndefu, pia ni interesting, inaonesha how a real man should be! Nitaipost hapa jamvini kama uzi mpya, kwa ajili yako na wengineo.
 
VUVUZELA.
sorry nilijibu nikiwa sijasoma sawasawa.
Narekebisha majibu yangu
WAHINDI WANATUBAGU,kwa hiyo maelezo yako sawa,wana ngozi nyeupe na nywele zilizolala,wale wahindi weusi angalau wana nywele zilizo lala na ndefu hivyo wanaona wapo bora kuliko sisi.
Kuhusu huyo mzungu kumpenda obama,kwanza si jambo la kawaida,ila niseme tu kuwa wapo wazungu wachache sana wenye upendo kwa waafrika mfano mzungu BILL CLINTON=The first black presdent in america,NOTED??

Kumbuka huyu mzungu ninemzungumzia hapa ni Redneck ambaye nje ya nyumba yake kuna confederate flag inapepea
 
Kumbuka huyu mzungu ninemzungumzia hapa ni Redneck ambaye nje ya nyumba yake kuna confederate flag inapepea
sawa huyo ni mmoja kati ya watu wangapi??hawezi kubadili taswira ya marekani pamoja na wengine wachache.
 
sawa huyo ni mmoja kati ya watu wangapi??hawezi kubadili taswira ya marekani pamoja na wengine wachache.
RedNecksforObama.jpg
Rednecks4Obama.jpg
The+South+will+RIse+Again.JPG
2985840097_efe844619a.jpg

2801624689_f054e4a068_b.jpg


rednecksforobama533.jpg
 
Back
Top Bottom