Ubaguzi mwingine haufai katika familia

shoshte

Senior Member
Apr 9, 2011
129
20
Kuna mama mmoja ana watoto wawili mmoja ni mdada na mkaka
Yule dada kaolewa na ana watoto na yule kka ameoa anaa watoto kama kawaida kuna tofauti ya mshiko yaani mme wa yule dada anamshiko
kuliko yule kaka mtu.Wajukuu wote wanakuja kumsalimia bibi sio wakubwa sana miaka 3-5 wote ila kasheshe inakuja kwamba wote wanakojoa kitandani ila mama anawagombeza wale wa kakamtu vibaya sana ila wa dada mtu wala hawaulizwi hata wakifanya kosa na pia hata kama
wote wamefanya kosa wa kakamtu ndo wanachapwa ila wale wengine wala.SWALI JE NI KWANINI UWABAGUE???NA JE NI SAWA??AU NI SABABU YA ANKALA ZA MKWE???
 
Shoste nawe kwa hadithi....!

Nwy sio vizuri kuwabagua watoto kwa uwazi namna hiyo.Ila kinachonifurahisha hapo ni kwamba hao “wanaoonewa“ wanafundisha discpline hao wengine hawafundishi.Mwisho wa siku watakaofaidika ni hao wanaocharazwa ila hao wengine ndo wale baadae wanakuja kulalama kama sio mama nisingekua hivi (kama wakipata bahati ya kujitambua) au wataishia kua legelege tu na kupata matatizo kedekede ambayo watashindwa kudeal nayo iwapo hawatakua na mtu wa kuwawekea kila kitu sawa.

Personally ningerudishwa kua mtoto niulizwe kama nataka kudekezwa au kuadhibiwa na kuelekezwa ipasavyo ikiwa nimekosea ningechagua the later!
 
Hiyo ni dhambi kubwa na hata kuliko ile mwalimu alisema sawa na kula nyama ya .....***tu. Na dhambi hiyo itamrudia siku si nyingi huyo.
 
Shoste nawe kwa hadithi....!

Nwy sio vizuri kuwabagua watoto kwa uwazi namna hiyo.Ila kinachonifurahisha hapo ni kwamba hao "wanaoonewa" wanafundisha discpline hao wengine hawafundishi.Mwisho wa siku watakaofaidika ni hao wanaocharazwa ila hao wengine ndo wale baadae wanakuja kulalama kama sio mama nisingekua hivi (kama wakipata bahati ya kujitambua) au wataishia kua legelege tu na kupata matatizo kedekede ambayo watashindwa kudeal nayo iwapo hawatakua na mtu wa kuwawekea kila kitu sawa.

Personally ningerudishwa kua mtoto niulizwe kama nataka kudekezwa au kuadhibiwa na kuelekezwa ipasavyo ikiwa nimekosea ningechagua the later!
Lizz sio story ni ukweli sijaongezea wala kupunguza it true story
 
Kuna mama mmoja ana watoto wawili mmoja ni mdada na mkaka
Yule dada kaolewa na ana watoto na yule kka ameoa anaa watoto kama kawaida kuna tofauti ya mshiko yaani mme wa yule dada anamshiko
kuliko yule kaka mtu.Wajukuu wote wanakuja kumsalimia bibi sio wakubwa sana miaka 3-5 wote ila kasheshe inakuja kwamba wote wanakojoa kitandani ila mama anawagombeza wale wa kakamtu vibaya sana ila wa dada mtu wala hawaulizwi hata wakifanya kosa na pia hata kama
wote wamefanya kosa wa kakamtu ndo wanachapwa ila wale wengine wala.SWALI JE NI KWANINI UWABAGUE???NA JE NI SAWA??AU NI SABABU YA ANKALA ZA MKWE???

tabia za wachaga hasa wamachame wa kike,tumeziona sana na tumezizoea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom