MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,772
- 71,837
- Thread starter
- #61
Hannibal alitoka carthage (Tunisia) wenyeji walikuwa ni berbers tunategemea naye alikuwa hivyo au mwaarabu, sasa Denzel ni black kabisa.
Swali jingine kabisa.
Waarabu wamefika kaskazini mwa Afrika kipindi gani?
(Misri, Libya, Tunisia, Morrocco)