Ubaguzi Marekani ni mkubwa sana

Ubaguzi Marekani ni mkubwa sana

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,772
Reaction score
71,831
Wasalaam ndugu zangu,
Mimi ni mdau mkubwa wa Video Games; na nchini Marekani na barani ulaya wadau ni hadi wazee.
Sasa leo nilikuwa naangalia kupitia chaneli fulani ya video ambayo kampuni ya DICE ya Marekani inatarajia kuachia mchezo mpya unaoitwa BATTLEFIELD 1 mnamo mwishoni mwa mwezi huu.
Watu wengi duniani tulikuwa tunausubiri kwa hamu kubwa hata tuone tangazo lake tu.

Sasa mchezo unazungumzia vita ya kwanza ya dunia,
Ambapo cha kushangaza mhusika mkuu wa humo ndani ni mwanajeshi mweusi wa Marekani.
Hasa hasa kikosi cha kivita namba 369 Harlem Hellfighters.
Eeeh bwana wazungu wameongea kashfa sana na kusema kwanini mchezo ambao umetegemewa sana uwaweke watu weusi kama wahusika wakuu wakati vita hivyo imepiganwa na wazungu kwa asilimia 99.

Kwa kifupi wengi wamesema hii ni POLITICAL CORRECTNESS na hata wengine kusema WHITE GENOCIDE. Kwanini wawekwe weusi tu?
Wengine wameenda mbali hadi kuanza kusema weusi hawakupigana kabisa katika vita ya dunia.
Wameropoka sana mtandaoni na kuonesha kutofurahishwa na hicho kitendo cha kampuni hiyo.

Sasa hivi imekukwa ishu kubwa sana inayozungumzwa mitandaoni.
Nimeishia kujiuliza tu;
Wazungu wanataka hadi ukubwa kwenye vitu vya kusadikika kama VIDEO-GAME
Kwanini kitu kidogo kama hichi kiendelee kuwagawa watu?
Wanawachukia weusi kiasi cha kutokukubali hata wakae kwenye dhahania?

Hii dunia ngumu sana.
Unaweza kupitia link hii ya mtandao wa REDDIT ukasoma COMMENTS ZAO.
 
Ishu ya ubaguzi naonA inazidi kuwa agendA na kuchukua nafasi Duniani.. Juzi Kuna kampuni ya mafuta ilitoa tangazo inaonekana kumdhalilisha mtu mweusi na mauaji mengi ya weusi... Tukatae ubaguzi
 
Kwanini wanauchochea ubaguzi hasa katika kipindi kibaya kama hichi hasa nchini Marekani?
Hivi unadhani yale mambo yanatokea kwa bahati mbaya?
 
Hawa hawa ndo waliouwa wapiga nia haki za watu weusi kama malcom x, martin luther king, wakawafunga mama tupac, wafanya uhaini ili kuchochea mzozo wa waafrika waliokua katika kilele cha mafanikio yanu tupac na biggie na mpaka sasa sidhani kama wanafurahi watu weusi wanavyo shine kama jay z, p diddy na hip hopper wengine na watu maarufu
 
Watalalamika sana lakini sasa hivi ulimwengu wa entertainment inaona mtu mweusi its good kwenye Movie, games na music. Watake wasitake, ndio new themes zinavyoenda hivi sasa.

Kuna hii Series mpya ya New Superhero ni kazi bado haijatoka lakini NETFLIX ameshaitangaza na itakwepo kwenye NETFLIX. Nayo imeletewa upinzani lakinj kila mtu sasa hivi anaikubali.

Haaahaaa mpango mzimaaa!
Halafu Marvel's Luke Cage mbona imetoka hadi episode ya 11.
Hujaiona tu mkuu?
Hebu itafute.

Haya turudi kwenye mada yetu.
Denzel Washinton alitakiwa aigize filamu inaitwa Hannibal kama Hannibal mwenyewe.
Wazungu wakapinga hadi leo imewekwa kapuni, kisa Hannibal hakuwa mweusi.
Sasa Mwafrika wa Carthage alikuwaje mweupe hawataki kujibu hadi leo.

Miaka ya 80 na 90 weusi walishika sana soko la muziki la Marekani.
Ikafika hadi kipindi wazungu wakawa wanaongea kama weusi, wanavaa kama weusi na kutamani sana kuwa weusi.
Hata ukiangalia matamasha ya Marvin Gaye, Billy Ocean, Michael Jackson, Nina Simone na wengine,
Wazungu walikuwa wanajaa sana, ubaguzi ulianza kuyeyuka. America was at its peak thanks to Ronald Reagan.
Lakini hili jambo kuna watu halikuwafurahisha kabisa hivyo mweusi akaanza kuminywa kidogo kidogo hadi wakapoteana.
 
Yeah nimeiona ipo kwenye maeneo ya Torrents. Hii Triller ilikuwa ya mwezi wa 9 mwanzoni.

Sasa hivi mzee mambo yamechange. Hata Policy ya media marekani inahimiza kila series iwe na African America pamoja na kila Movie.

Naona wabaguzi wanaumia sasa.
 
Huoni kama wamechelewa sana kuwakumbuka watu weusi?
Wangeyafanya haya mapema unadhani kungekuwa na huu ubaguzi?
 
Wasalaam ndugu zangu,
Mimi ni mdau mkubwa wa Video Games; na nchini Marekani na barani ulaya wadau ni hadi wazee.
Sasa leo nilikuwa naangalia kupitia chaneli fulani ya video ambayo kampuni ya DICE ya Marekani inatarajia kuachia mchezo mpya unaoitwa BATTLEFIELD 1 mnamo mwishoni mwa mwezi huu.
Watu wengi duniani tulikuwa tunausubiri kwa hamu kubwa hata tuone tangazo lake tu.

Sasa mchezo unazungumzia vita ya kwanza ya dunia,
Ambapo cha kushangaza mhusika mkuu wa humo ndani ni mwanajeshi mweusi wa Marekani.
Hasa hasa kikosi cha kivita namba 369 Harlem Hellfighters.
Eeeh bwana wazungu wameongea kashfa sana na kusema kwanini mchezo ambao umetegemewa sana uwaweke watu weusi kama wahusika wakuu wakati vita hivyo imepiganwa na wazungu kwa asilimia 99.

Kwa kifupi wengi wamesema hii ni POLITICAL CORRECTNESS na hata wengine kusema WHITE GENOCIDE. Kwanini wawekwe weusi tu?
Wengine wameenda mbali hadi kuanza kusema weusi hawakupigana kabisa katika vita ya dunia.
Wameropoka sana mtandaoni na kuonesha kutofurahishwa na hicho kitendo cha kampuni hiyo.

Sasa hivi imekukwa ishu kubwa sana inayozungumzwa mitandaoni.
Nimeishia kujiuliza tu;
Wazungu wanataka hadi ukubwa kwenye vitu vya kusadikika kama VIDEO-GAME
Kwanini kitu kidogo kama hichi kiendelee kuwagawa watu?
Wanawachukia weusi kiasi cha kutokukubali hata wakae kwenye dhahania?

Hii dunia ngumu sana.
Unaweza kupitia link hii ya mtandao wa REDDIT ukasoma COMMENTS ZAO.

watu waliochagua rais mweusi unawaita wabaguzi?! sisi hapa bongo tunaweza chagua rais mchina?!
wewe ndo mbaguzi mkuu make inshu za mtu mmojammoja kuonyesha element ya ubaguzi ipo hata huku afrika.
mbona will smith anafans wazungu wengi tu kuliko hata waafrika!
 
Waafrika bana,sisi kwa sis tunabaguana kwa makabila.mzungu akitubagua ni kosa?
 
Kwanini wanauchochea ubaguzi hasa katika kipindi kibaya kama hichi hasa nchini Marekani?
Hivi unadhani yale mambo yanatokea kwa bahati mbaya?
sio bahati mbaya,wala ubaguzi marekani ni agenda nyingine ya jews ambao ni secret society kuikalia marekani kiuchumi,wanaanzisha civil war,muda marekani itakapo kuwa vitani wao waipe marekani pesa itakayokuja kulipwa kama deni la nchi,ukisoma civil war zote au vita nyingi za nyuma,hizo ndo sababu kubwa
 
Naona bora walichelewa. Entertaiment ya zamani ilikuwa booring. Now its getting hot. [emoji1417]

Haaahaaa,
Acha kuzingua Apollo.
Hivi utamlinganisha Kendrick Lamar na mtu kama NAS kweli?
Au Denzel Washington na Terrence Jenkins?
 
watu waliochagua rais mweusi unawaita wabaguzi?! sisi hapa bongo tunaweza chagua rais mchina?!

Hapana hatuwezi kumchagua,
Katiba yetu ya Tanzania hairuhusu mtu asiye Mtanzania kuwa raisi wa nchi.
 
Watanganyika hamutoilimika kwani. nyie ni wabaguzi tu,mnapenda kuwabagua hata wa kenyans,wahindi,wazungu,warabu. sasa munamlalamikia nani ati? You are very racist.sisi kenyas tunathamini personality, nyie hiyo kitu hamna. machuki chuki yamewazidi ati. njoni kenya mjionee huwez ukuta haya maubaguzi.it is really sad.acheni hizo ubaguzi.

are you for real!?????
 
Back
Top Bottom