kama ni usabato na kwa maslahi ya usabato ukanda wa ziwa unaingiaje hapa si wangesema awe msabato mtanzania tu. Ukanda wa ziwa ukusini au kaskazini mwa tz una uhusu nini huu ni ubaguzi na si ucha mungu mungu gani huyo anaependa mtu kubaguliwa mpaka anapotoka? Hizi dini nyingine ni majanga tuuKumbuka hii ni taasisi ya kidini pengine wameweka sharti hilo kuweza kukidhi mahitajio ya kisabato.
Kumbuka hii ni taasisi ya kidini pengine wameweka sharti hilo kuweza kukidhi mahitajio ya kisabato.
nenda kwa bharessa ukaone ubaguzi zaidi
Hivi Florian Kaijage yu wapi siku hizi?nenda kwa bharessa ukaone ubaguzi zaidi
Kama ni kazi ya kidini kwa nini watangaze hadharani? Si wangetangaza makanisani mwao na wangepata waombaji humo humo makanisani??? Huu ni ubaguzi na ushindwe kabisa
sasa usabato unahusikaje kwenye kazi ya kitaaluma (kitaalamu)?
Patrick Kahemele, ambaye ni Mkristo na mwenyeji wa Bukoba alikuwa Meneja wa Azam FC na sasa ni Mkurugenzi wa matangazo wa Azam TV (kama sijakosea).
Kama huna la kufanya kakojoe ukalale...
Leo nilikuwa nasikiliza redio ya Morning Star nikasikia tangazo hili la nafasi ya kazi ambalo limenishangaza sana:
1. Mwombaji awe ni muumini wa kanisa la Waadiventista wa Sabato (SDA) na aweze kuthibitisha hilo kwa maandishi.
2. Mwombaji awe ni mwenyeji wa Kanda ya Ziwa na hilo lithibitike kwenye cheti chake cha kuzaliwa.
3. Mwombaji awe na shahada ya kwanza ya uboharia (Material Management). Mwenye shahada ya pili ana uwezekano mkubwa wa kuajiriwa.
Kumbe bado kuna ubaguzi mkubwa wa kidini, kikabila na kikanda katika ajira nchini Tanzania? Ni lini hasa huu ubaguzi utakoma?
Hivi Florian Kaijage yu wapi siku hizi?