Labda, na nasema labda, kapigwa jungu na wapigaji.Katika hili makamu wa rais kachemka mno.
Dambaya ni mtu safi sana wala hana tabia ya rushwa.
Gharama iliyotumika na ubora wa stand vinaendana kabisa.
Pavement ya stand ni rigid tena zege class 25.
Shida yetu tunalinganisha miradi kwa ukubwa wa ujenzi kuliko ubora na material iliyotumika.
Hiyo kamati itatoka na aibu tu.
Moja ya DED bora kwangu ni Dambaya masna siyo mtu wa rushwa au upigaji
Kutembea na mkasi ili kukata utepeHivi kazi za Makamu wa Rais ni zipi ?.
Duh! yaani kazi ya DED tangu mwendazake aingie madarakani inatolewa kama njugu.........hivi serikalini maafisa waandamizi wameisha hadi waokote makanjanaja mitaani ndo wakawe ma-DED, halafu unatarajia impact yoyote kwenye utendaji? nafikiri Tanzania aliyeturoga kafa.....Hamisi Dambaya nakumbuka alikuwa mtangazaji wa Star tv au Radio Africa. Hii ndio shida ya hizi kazi.
Kiki zimeshaanza tena. Ameona watu watajuaje kama yupo na anafanya kazi ikabidi amtoe kafara mtu. Ama kweli nchi ya kipumbavu hiiMAKAMU WA RAIS AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI MKURUGENZI NANYUMBU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango, leo Julai 24, 2021 amefanya ziara ya kustukiza katika stendi ya Mabasi ya Mangaka iliopo Wilaya ya Nanyumbu.
Makamu wa Rais amekasirishwa na uongozi wa Wilaya kufanya upotevu mkubwa wa fedha usiolingana na matokeo ya ujenzi wa mradi huo. Ujenzi wa majengo ya stendi hiyo umetumia shilingi bilioni 2.2 kiasi ambacho Makamu wa Rais amesema hakilingani na ujenzi huo.
Makamu wa Rais amemuagiza Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Dkt. Festo Dugange kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu Hamis Dambaya ili kupisha uchunguzi kutoka vyombo husika.
Amesema viongozi hawana budi kusimamia fedha za serikali zinazopelekwa katika maeneo yao ili kuwaletea maendeleo wananchi.
Ni nani mpaka sasa amesafishwa hadharani na hizo so called tume? Watu wanatuhumiwa hadharani kuwa ni wabadhirifu na baada ya uchunguzi wqkionekana hawana hatia wanarudishwa kimya kimya. Sio haki hiyo.Si uchunguzi tu,Makamu halazimiki kumsafisha.Tume itamsafisha.
Watanzania wakiambiwa kiasi hicho cha fedha kimetumika kukarabati nyumba ya mheshimiwa fulani watajazana hapa kusema kuwa hizo ni pesa ndogo sana.Ni pesa nyingi kwa kuzisikia tu lakini siyo kwenye ujenzi bro.
Bado gharama zetu za ujenzi ziko chini sana.
Hiyo ni pesa ndogo sana.
Kwa pavement ya pale hakuna wizi hata kidogo.
Ni kweli kabisa.Watanzania wakiambia kiasi hicho cha fedha kimetumika kukarabati nyumba ya mheshimiwa fulani watajazana hapa kusema kuwa hizo ni pesa ndogo sana.
Mimi wingi wa hizo pesa sijali sana. Cha muhimu ni Jee zinaendana na mkataba ambao waliingia na mkandarasi? Na tukumbuke kuwa mradi kama huo kisheria unatakiwa kutekelezwa na mkandarasi wa daraja la kwanza ambao Nanyumbu hawapo na sidhani kama hata Mtwara yupo.
Inabidinhawa viongozi wabadilike. Mbona hawakuunda tume ya kujichinguza baada ya CAG fulani kusema kuwa serikalini kuna ubadhirifu wa kutupa? Wote tunajua yaliyompata.
Amandla...
Watanzania wakiambia kiasi hicho cha fedha kimetumika kukarabati nyumba ya mheshimiwa fulani watajazana hapa kusema kuwa hizo ni pesa ndogo sana.
Mimi wingi wa hizo pesa sijali sana. Cha muhimu ni Jee zinaendana na mkataba ambao waliingia na mkandarasi? Na tukumbuke kuwa mradi kama huo kisheria unatakiwa kutekelezwa na mkandarasi wa daraja la kwanza ambao Nanyumbu hawapo na sidhani kama hata Mtwara yupo.
Inabidinhawa viongozi wabadilike. Mbona hawakuunda tume ya kujichinguza baada ya CAG fulani kusema kuwa serikalini kuna ubadhirifu wa kutupa? Wote tunajua yaliyompata.
Amandla...
Ni kweli mkuu.Watanzania wakiambia kiasi hicho cha fedha kimetumika kukarabati nyumba ya mheshimiwa fulani watajazana hapa kusema kuwa hizo ni pesa ndogo sana.
Mimi wingi wa hizo pesa sijali sana. Cha muhimu ni Jee zinaendana na mkataba ambao waliingia na mkandarasi? Na tukumbuke kuwa mradi kama huo kisheria unatakiwa kutekelezwa na mkandarasi wa daraja la kwanza ambao Nanyumbu hawapo na sidhani kama hata Mtwara yupo.
Inabidinhawa viongozi wabadilike. Mbona hawakuunda tume ya kujichinguza baada ya CAG fulani kusema kuwa serikalini kuna ubadhirifu wa kutupa? Wote tunajua yaliyompata.
Amandla...
Picha please ya hiyo projectMAKAMU WA RAIS AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI MKURUGENZI NANYUMBU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango, leo Julai 24, 2021 amefanya ziara ya kustukiza katika stendi ya Mabasi ya Mangaka iliopo Wilaya ya Nanyumbu.
Makamu wa Rais amekasirishwa na uongozi wa Wilaya kufanya upotevu mkubwa wa fedha usiolingana na matokeo ya ujenzi wa mradi huo. Ujenzi wa majengo ya stendi hiyo umetumia shilingi bilioni 2.2 kiasi ambacho Makamu wa Rais amesema hakilingani na ujenzi huo.
Makamu wa Rais amemuagiza Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Dkt. Festo Dugange kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu Hamis Dambaya ili kupisha uchunguzi kutoka vyombo husika.
Amesema viongozi hawana budi kusimamia fedha za serikali zinazopelekwa katika maeneo yao ili kuwaletea maendeleo wananchi.
Picha please ya hiyo project
Picha please ya hiyo project
Nakubaliana nawe Dambaya ni Mtu safi.Katika hili makamu wa rais kachemka mno.
Dambaya ni mtu safi sana wala hana tabia ya rushwa.
Gharama iliyotumika na ubora wa stand vinaendana kabisa.
Pavement ya stand ni rigid tena zege class 25.
Shida yetu tunalinganisha miradi kwa ukubwa wa ujenzi kuliko ubora na material iliyotumika.
Hiyo kamati itatoka na aibu tu.
Moja ya DED bora kwangu ni Dambaya masna siyo mtu wa rushwa au upigaji
Nyie mtakua watumishi wa iyo halmashauri naona mnajitetea na mkurugenzi wenu.Tapikeni izo hela mkuu mtaishia pabayaKabisa mkuu kuna vitu vinafanyika kisiasa sana.
Unakumbuka sakata la wahandisi Tanroads Morogoro Jiwe alivyowasimamisha lakini wote warirudi kazini lakini haikusemwa kwenye vyombo vya habari bali majina ya watu wamechafuliwa hadharani.
Inakera sana.
Dambaya katika hili kaonewa sana tena sana, maana alibana mirija ya wanasiasa kupiga pesa halmashauri ya Nanyumbu.
Namjua vizuri ni mtu mwema kwenye fedha za umma.
Nyie mtakua watumishi wa iyo halmashauri naona mnajitetea na mkurugenzi wenu.Tapikeni izo hela mkuu mtaishia pabaya
Juzi kati alikuwa anasema Mama anaupiga mwingi kumbe yeye ndio alikuwa anaupiga mwingi!? Dah inchi yangu ya tozo!?Hamisi Dambaya nakumbuka alikuwa mtangazaji wa Star tv au Radio Africa. Hii ndio shida ya hizi kazi.