Wanabodi,
Wakazi wa Jiji la Mwanza wanalalamika ugawaji wa ardhi unaofanywa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza watendaji wa Halamashauri wakishirikiana na madiwani wa Chadema ambao ndio wengi kwenye baraza la madiwani.
Wananchi wa Mwanza wanalalamikia ubadhilifu wanaofanywa na madiwani wa Chadema kujigawia viwanja maeneo ya Kiseke, Nyegezi, Bugarika, na sehemu tofauti tofauti katika Jiji la Mwanza.
Wananchi wa Mwanza walipeleka malalamiko yao kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipofanya ziara katika Jiji la Mwanza, Waziri Mkuu aliwambia wakazi wa Mwanza malalamiko yao wanatakiwa wayapeleke kwa chama cha Chadema, ambacho kina dhamana ya kuendesha Halmashauri hiyo, ambao Chadema wana nafasi ya Meya hadi madiwani
Wananchi wa Mwanza wanalalamika unafanyiwa utapeli na Halamashauri ya Jiji la Mwanza viwanja hawapewi pamoja na kuwa wameishavilipia pesa lakini viwanja hivyo vipo mikononi mwa madiwani wa Chadema.
hivi kwanini CDM hua hawataki kuambiwa ukweli hata siku moja,nyie sio malaika ni binadamu thatswhy mnamapungufu yenu pia kubalini na kufanyia kazi mapungufu
Kwa hiyo Chadema nao wanapata Excuse ya kujigawia viwanja.
UFISADI mkubwa wa madiwani wa CHADEMA wakishirikiana na watendaji wa halmashauri husika. Pongezi kwa RC wa Kilimanjaro kwa kushitukia ubadhirifu Moshi Mjini
Dogo unatokwa na mapovu!! mimi hakuna mtu nayemfahamu mwenye kiwanja, nielekeze wewe basi mwenye kiwanja au ndugu/rafiki yako yeyote anielekeze. unataka kumaanisha kuwa hao madiwani wa Chadema ndo wagawaji wa hivyo viwanja na wakati wanapitisha hayo maamuzi ya kujigawia viwanja madiwani wa Magamba hawakuwepo kwenye hiyo kamati?Kama hujui vitu huwe unasoma tu post za wenzako kuliko kujizalilisha kwa kuandika vitu ambavyo havipo kabisa. Aliekwambia wizara ya ardhi inagawa viwanja nani? Aliekwambia surveyors wanagawa viwanja nani? Huwa unauliza hata kwa wenzako wenye viwanja mchakato wa kuvipata walifanyaje mkuu hiyo itakusaidia kuelewa mambo. Halmashauri ndio wenye ardhi, wao ndio wanajukumu la kukaa katika kamati ya ugawaji wa ardhi ambayo Mwenyekiti wake ni mkurugenzi wa halmashauri na vilevile inakuwa na wajumbe kama afisa ardhi wa halmashauri, mthamini wa halmashauri na wengineo ambao wanakamilisha timu yenye watu nane. Hao wote hapo ni watendaji ila watawala ndio hao madiwani wakiongozwa na huyo meya. Sasa lolote la kutokea wakuhojiwa ni hao watawala kama sisi tunavyohoji serikali kuu unapofanyika uzembe katika wizara au mashirika yetu ya umma.
Wanabodi,
Wakazi wa Jiji la Mwanza wanalalamika ugawaji wa ardhi unaofanywa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza watendaji wa Halamashauri wakishirikiana na madiwani wa Chadema ambao ndio wengi kwenye baraza la madiwani.
Wananchi wa Mwanza wanalalamikia ubadhilifu wanaofanywa na madiwani wa Chadema kujigawia viwanja maeneo ya Kiseke, Nyegezi, Bugarika, na sehemu tofauti tofauti katika Jiji la Mwanza.
Wananchi wa Mwanza walipeleka malalamiko yao kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipofanya ziara katika Jiji la Mwanza, Waziri Mkuu aliwambia wakazi wa Mwanza malalamiko yao wanatakiwa wayapeleke kwa chama cha Chadema, ambacho kina dhamana ya kuendesha Halmashauri hiyo, ambao Chadema wana nafasi ya Meya hadi madiwani
Wananchi wa Mwanza wanalalamika unafanyiwa utapeli na Halamashauri ya Jiji la Mwanza viwanja hawapewi pamoja na kuwa wameishavilipia pesa lakini viwanja hivyo vipo mikononi mwa madiwani wa Chadema.
Wanabodi,Wakazi wa Jiji la Mwanza wanalalamika ugawaji wa ardhi unaofanywa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza watendaji wa Halamashauri wakishirikiana na madiwani wa Chadema ambao ndio wengi kwenye baraza la madiwani.Wananchi wa Mwanza wanalalamikia ubadhilifu wanaofanywa na madiwani wa Chadema kujigawia viwanja maeneo ya Kiseke, Nyegezi, Bugarika, na sehemu tofauti tofauti katika Jiji la Mwanza.Wananchi wa Mwanza walipeleka malalamiko yao kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipofanya ziara katika Jiji la Mwanza, Waziri Mkuu aliwambia wakazi wa Mwanza malalamiko yao wanatakiwa wayapeleke kwa chama cha Chadema, ambacho kina dhamana ya kuendesha Halmashauri hiyo, ambao Chadema wana nafasi ya Meya hadi madiwaniWananchi wa Mwanza wanalalamika unafanyiwa utapeli na Halamashauri ya Jiji la Mwanza viwanja hawapewi pamoja na kuwa wameishavilipia pesa lakini viwanja hivyo vipo mikononi mwa madiwani wa Chadema.
Mnao ambiwa cha kuandika na MATATA (Diwani wa zamani wa Kitangili) mnafahamika kwa yale mnayoandika - POLE SANA. Ulichorishwa na ukaandika ni uzoefu wa uongozi na wanasiasa wa CCM, ambapo ukitaka kujaribu hilo kwa CHADEMA tu, lazima utimuliwe kama huyo anayekuambia cha kuandika yalivyomkuta.

Ritz, kati ya watu ambao wanatumia muda mwingi kuiponda CDM na kutetea mfumo mbaya wa kiutawala ulioasisiwa na CCM, hakika unaongoza. Mara nyingi najuliza unafaidikahe na mfumo huu? ndugu zako je wanafaidikaje?
Najua fika kuwa unafahamu kwamba baraza la madiwani linaweza kuidhinisha ugawaji wa viwanja lakini kazi ya kupima na kugawa hivyo viwanja ni ya wataalam, ni ya mkurugenzi aliyewekwa na CCM. Wataalam hawa wanatakiwa watoe mrejesho wa utekelezaji wa viwanja hivyo kwa baraza na hujatuambia kama mrejesho tayari umefanyika
Ritz, jaribu kuipenda nchi yako, jaribu kuwapenda ndugu zako, jaribu kuwapenda watanzania pamoja na umasikini walionao.
Ded hana mamlaka juu ya madiwani ukizingatia madiwani wa chadema walimtishia maisha ili wao wapate viwanja vingi hakuwa na jinsi zaidi ya kuwaamuru maafisa ardhi kuwapa tena hawajalipia hata senti aibu kwa wanaojifanya wapinga ufisadi