Ubabe Wa wanaume katika mapenzi

Ubabe Wa wanaume katika mapenzi

Huu mtindo wa kupost thread zinashindwa kuendana sijui kwa nn baadhi ya wana JF wanakuwa waongo waongo hivyo, leo analeta post yy single mother, kesho mara Mme wangu sijui kafanya nn kesho kutwa boyfriend wangu yaan wanadhan JF wote ni vilaza sasa tutakuwa tunawaumbua labda kila post mpya aingie na ID mpya
 
Habari wana jukwaa, naomba kujua hivi wanaume ndio wababe hivi au huyu nilie nae in kimeo? Yani huyu bwana nna miezi nae mitatu tu, amekua ni mkali balaa haya nashindwa kumuelewa yani anachotaka yeye kiwe ndio hichoicho hasikilizi opinions zangu mfano.

Kama mwezi umepita nilikua na trip ya zenji full moon pati nikamwambia naenda akagoma eti nisiende na sababu ya msingi hana Pili one day nilikua naenda kwenye harusi nikamuaga anasema usiende njoo tuspend hii time together nikamwambia nitakuja afta party eti kasusa kanuna kabisaa na anatabia za kuninunia bila hata mpango...mi kwakweli namshangaa sanaaa...ndivo wanaume mlivo?? Maisha hayo mi siwezi ati
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu kubwa kuwa jana na juzi ulisema nini, huyu huyu ulisema bahili, huyu huyu mbabe na bado wewe ni single mother, wewe jimama bichwa maji usitake kutuburuza
 
Nina was was sana kama kweli una Mme na pia nina was was na upeo wako Huwez kuja kuuliza huku mambo ya Mme wako kwanza hueleweki mara tegemez unampa kila ki2 mara Leo mbabe kesho utatuambia mchafu
 
huo sio ubabe,wewe ndo mshe.nzi hata baikoko itakua unaenda wewe..
 
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu kubwa kuwa jana na juzi ulisema nini, huyu huyu ulisema bahili, huyu huyu mbabe na bado wewe ni single mother, wewe jimama bichwa maji usitake kutuburuza
Rejea nyuma usome tena
 
Nina was was sana kama kweli una Mme na pia nina was was na upeo wako Huwez kuja kuuliza huku mambo ya Mme wako kwanza hueleweki mara tegemez unampa kila ki2 mara Leo mbabe kesho utatuambia mchafu
Sio mime jamani lol mbona watz wagumu kuelewa
 
Kula ujana kwanza mambo ya ndoa bado hujakomaa kiakili
 
Jinga ww mkipendwa mnalalamika mkichepukiwa mnalia huyo jamaa ankupenda sana ndo mana hataki akupoteze kweny izo party...
 
Safari moja nilishawai kukutana na dada mmoja akawa ananilalamikia,mmewe akitoka amuulizi umeenda wapi yaan wala hana hata habar ata akichelewa haulizi na wala hamuonei wivu,
Jambo hili yule dada likawa linamuumiza sana,na alitamani kuulizwa au kuonewa wivu,
Ajabu wakat watu wanayatafta haya ww huyataki Mtoa post
Hapa ndipo napata wakat mgumu nisijuwe hasa nini wanawake mnataka,
Na kama kuna shule naombeni mnipeleke nikasome zaidi maana elimu ya kuwajua watoto wa kike ni pana zaidi.....

[HASHTAG]#Nahitaji[/HASHTAG] kujiendeleza
 
Eeh wanaume wote ndio tulivyo,
Ukiona vipi potezea, kwani lazima uwe na mwanaume?
Mbona Masister hawana na wanaishi!!!
 
Safari moja nilishawai kukutana na dada mmoja akawa ananilalamikia,mmewe akitoka amuulizi umeenda wapi yaan wala hana hata habar ata akichelewa haulizi na wala hamuonei wivu,
Jambo hili yule dada likawa linamuumiza sana,na alitamani kuulizwa au kuonewa wivu,
Ajabu wakat watu wanayatafta haya ww huyataki Mtoa post
Hapa ndipo napata wakat mgumu nisijuwe hasa nini wanawake mnataka,
Na kama kuna shule naombeni mnipeleke nikasome zaidi maana elimu ya kuwajua watoto wa kike ni pana zaidi.....

[HASHTAG]#Nahitaji[/HASHTAG] kujiendeleza
Tunatofautiana usiyegemee wote tukafanana
 
Ni kweli kabisa na ndomana nikasema Nahitaji kujifunza zaidi maana mnatofautiana sana sana
Jinsi unavoishi nao ndivyo utakavojifunza coz pipo are dynamic we are changing according to the environment, tabia ya MTU inategemea factors mbalimbali. So Kwa kukusaidia anzana mitaa like mwananyamala then uje mbezi beach etc, ukimaliza uje Levo ya mikoa pia hutofautisha tabia, then education, weather, social,political, economical, technological, religiously na factors nyingine kibao
 
Wanaume wa hapa JF huwa hawana tatizo kabisa!!...Tafuta mwanaume hapa JF mkuu!....Waliotongoza na kupata wanaume hapa JF kama vile akina atoto,Honey Faith,Nifah e.t.c wanakula maisha ile mbaya!!

Eeeeh! nilikuwa siafahamu kuwa watu wanatongozana hapa jukwani...inakuaje?hebu nieleweshe kwanza mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom