NAHINGA
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 1,019
- 338
Habari wana jukwaa, naomba kujua hivi wanaume ndio wababe hivi au huyu nilie nae in kimeo? Yani huyu bwana nna miezi nae mitatu tu, amekua ni mkali balaa haya nashindwa kumuelewa yani anachotaka yeye kiwe ndio hichoicho hasikilizi opinions zangu mfano.
Kama mwezi umepita nilikua na trip ya zenji full moon pati nikamwambia naenda akagoma eti nisiende na sababu ya msingi hana Pili one day nilikua naenda kwenye harusi nikamuaga anasema usiende njoo tuspend hii time together nikamwambia nitakuja afta party eti kasusa kanuna kabisaa na anatabia za kuninunia bila hata mpango...mi kwakweli namshangaa sanaaa...ndivo wanaume mlivo?? Maisha hayo mi siwezi ati
Alikupataje au alikupata wapi? inawezekana hii inamjia kichwani mwake kuwa anaweza mtu mwingine akatumia gia au njia ailiyotumia kukupata..ndio wasi wasi wake huo
