Tulia ni shetani haki ya Mungu!Yaani haoni ubovu wa mkataba kweli? Ushetani mtupu. Samia naweza nikamtoa kwa sababu Tanganyika siyo kwao, lakini Tulia hapa ndipo kwao, anawaharibia watanganyika wenzake!Kama kiongozi mkubwa wa mamlaka kisiasa unajengewa mazingira ya kuhudhuria ibada kwa wito wa kiongozi wako wa dini.. Kwakuwa unamheshimu sana unaitikia wito bila shuruti
Unapofika ibadani waraka unasomwa mbele ya waumini wote akiwemo kiongozi mkubwa kisiasa kisha naye anapewa nakala yake anaipokea kwa unyenyekevu na kuiweka upande wake wa kulia
Kiongozi wa dini anamuagiza mtumishi ampelekee tena kiongozi huyo wa kisiasa nakala nyingine, naye bila kubisha inabidi aipokee na kuiweka upande wake wa kushoto
Jumla anakuwa amepewa nakala mbili peke yake! Hivi kitaalam hii inaitwaje?[emoji848][emoji2827]View attachment 2733127
Kiongozi mkubwa kama huyu mumemuweka juu ya benchi wala sio juu ya busati.Kama kiongozi mkubwa wa mamlaka kisiasa unajengewa mazingira ya kuhudhuria ibada kwa wito wa kiongozi wako wa dini.. Kwakuwa unamheshimu sana unaitikia wito bila shuruti
Unapofika ibadani waraka unasomwa mbele ya waumini wote akiwemo kiongozi mkubwa kisiasa kisha naye anapewa nakala yake anaipokea kwa unyenyekevu na kuiweka upande wake wa kulia
Kiongozi wa dini anamuagiza mtumishi ampelekee tena kiongozi huyo wa kisiasa nakala nyingine, naye bila kubisha inabidi aipokee na kuiweka upande wake wa kushoto
Jumla anakuwa amepewa nakala mbili peke yake! Hivi kitaalam hii inaitwaje?[emoji848][emoji2827]View attachment 2733127
Mshana hohoooKama kiongozi mkubwa wa mamlaka kisiasa unajengewa mazingira ya kuhudhuria ibada kwa wito wa kiongozi wako wa dini.. Kwakuwa unamheshimu sana unaitikia wito bila shuruti
Unapofika ibadani waraka unasomwa mbele ya waumini wote akiwemo kiongozi mkubwa kisiasa kisha naye anapewa nakala yake anaipokea kwa unyenyekevu na kuiweka upande wake wa kulia
Kiongozi wa dini anamuagiza mtumishi ampelekee tena kiongozi huyo wa kisiasa nakala nyingine, naye bila kubisha inabidi aipokee na kuiweka upande wake wa kushoto
Jumla anakuwa amepewa nakala mbili peke yake! Hivi kitaalam hii inaitwaje?[emoji848][emoji2827]View attachment 2733127
upigaji ufike mwisho sababu waarabu wanachukua bandari!!!TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
Umeusoma waraka husika ama unajibu usichokijua?TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
Wana Mbeya wafanye kweli katika uchaguzi ujao.Tulia ni shetani haki ya Mungu!Yaani haoni ubovu wa mkataba kweli? Ushetani mtupu. Samia naweza nikamtoa kwa sababu Tanganyika siyo kwao, lakini Tulia hapa ndipo kwao, anawaharibia watanganyika wenzake!
Viongozi wa dini wanaheshimika sana duniani kote na nyumba za ibada waumini huwa wanyenyekevu sana wawapo ndaniMshana hohooo
Lakini hii picha imenipa wakati mgumu sana kuwaza.
Ni unyenyekevu au ni perfomance? Maana sisi CCM kwa kuigiza ni hatari
Nani anahitaji waraka!?..tuna bunge na mahakama,wao waandaea divai na mikate ya kutosha kwa ajili ya waamini waoUmeusoma waraka husika ama unajibu usichokijua?
Wanyeynyekevu au wanafuata utaratibu wa pahala husika!?Viongozi wa dini wanaheshimika sana duniani kote na nyumba za ibada waumini huwa wanyenyekevu sana wawapo ndani
Tech ni mmbwa kama mbbbwa wengine tuhKama kiongozi mkubwa wa mamlaka kisiasa unajengewa mazingira ya kuhudhuria ibada kwa wito wa kiongozi wako wa dini.. Kwakuwa unamheshimu sana unaitikia wito bila shuruti
Unapofika ibadani waraka unasomwa mbele ya waumini wote akiwemo kiongozi mkubwa kisiasa kisha naye anapewa nakala yake anaipokea kwa unyenyekevu na kuiweka upande wake wa kulia
Kiongozi wa dini anamuagiza mtumishi ampelekee tena kiongozi huyo wa kisiasa nakala nyingine, naye bila kubisha inabidi aipokee na kuiweka upande wake wa kushoto
Jumla anakuwa amepewa nakala mbili peke yake! Hivi kitaalam hii inaitwaje?[emoji848][emoji2827]View attachment 2733127
Ukisoma wewe inatosha.Umeusoma waraka husika ama unajibu usichokijua?