Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
Pascal Mayalla,
Huwa nasikia waswahili wanasema, adui yako muombee njaa, nadhani wanaofurahia ni wale wanaye muombea Rais Magufuli njaa.
Ndege ni zao au zetu? Huwa naona kila zikija wanachama wa ccm ndio hualikwa, nahisi hawa ni zao, sasa wale wanaokosa mualiko nadhani ndio hufurahia.
Haya mambo ya jinsi gani watu wanapokea nadhani yako binafsi sana, hata wanaofurahia au kushangilia mtanange huu hawabadili chochote, the fact kwamba tunadaiwa.
Nadhani wangelipa tu ili kuondokana na fedheha hii.
Hili la kukamatwa ndege zetu mara kwa mara, wengi wetu hata wale tunaoamini ndio maguru wetu, wanalichukulia kisiasa sana badala ya kuangalia kwa upana zaidi, hasa kibiashara.
Binafsi naliona upo uwezekano kuwa ni vita ya biashara "trade war" dhidi ya hili shirika (la Rais, siyo letu) changa linalotaka kuanza biashara kimataifa.
Shirika hili linaloendeshwa kisiasa (siyo kibiashara) kwa kutumia kodi za wanyonge, bila ukaguzi wa matumizi na mapato, automatically linapata kile wanaita "undue advantage" dhidi ya washindani ambao mashirika yao yanakaguliwa kila baada ya miezi mitatu kuyapima uhai.
Kwa kutumia madhaifu yetu (au ya Rais wetu), washindani wamebuni mpango mkakati wa kuhakilisha shirika linaanza kwa taswira kuwa hampo serious na biashara, na wala hamuwezi kuwa reliable partners kwenye biashara.
Madhara yake tuliyaona from day one.
Mfano, badala ya wauzaji wa ndege kuingia makubaliano na sisi ya mikopo nafuu na ya muda mrefu kama wanavyoingia na makampuni mengine, wao wakataka wapewe chao kabisa. Ili mtakapoangukia pua msije mkaanza kusumbuana mahakamani.
Madhara mengine ambayo ni wazi tutayalipia kwa gharama kubwa ni uwezo wetu kuaminika na wateja wa huko nje tunakoamini kuwa tutawafata watalii. Huko sina uhakika kama kuna "mtalii" atakayekubali kupanda ndege ambayo inaweza kupigwa stop wakati wowote. Hii ni sawa na kumshawishi abiria apande basi ambalo anaamini kuwa linaweza kumlaza njiani wakati wowote.
Kwa mwendo huu, sina uhakika kama kodi za wanyonge bado zitatosha kulipia hasara zote hizo kwa ufahari tu wa kuwa angani. Sina uhakika kama wakija wenye akili kuongoza siku za mbeleni kuwa wataendelea kuunguza pesa za wanyonge ili tuwe angani basi.
Nihitimishe
Wametumia ground ipi ya kisheria kuikamata Ndege yetu.
Mwezi uliopita Zitto Kabwe alikuwa Africa kusini alipitia Burundi kwenda kushawishi ndege yetu Watanzania ikamatwe eti awe na Nguvu kisiasa kwa Kushirikiana na akina Marem.
Ameshindwa mchezo wa kuisaidia nchi yake ya BRD kwa kutaka Kigoma iwe dhaifu kuliko kwao. Endelea Zitto na Genge lako
Kwani mulipo nunua hiyo ndege mulitushauriJapo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
kwa bahati mbaya mno, wapinzani hapa nchini bado hawajatambua majukumu yao kama vyama vya upinzani, sasa ukiwa na watu wa aina hii ambao bado hawajajitambua ni hatari.
Baba unaponunua vitu vya nyumbani, huwa unashauriana na watoto wako nyumbani?.Kwani mulipo nunua hiyo ndege mulitushauri
Ni vitu wanavitengeneza wenyewe, shughuli ni ya kitaifa vijembe vya nini kwa upinzani? Ref: Makonda siku ya mapokezi ndege ya mwishoPascal Mayalla,
Huwa nasikia waswahili wanasema, adui yako muombee njaa, nadhani wanaofurahia ni wale wanaye muombea Rais Magufuli njaa.
Ndege ni zao au zetu? Huwa naona kila zikija wanachama wa ccm ndio hualikwa, nahisi hawa ni zao, sasa wale wanaokosa mualiko nadhani ndio hufurahia.
Haya mambo ya jinsi gani watu wanapokea nadhani yako binafsi sana, hata wanaofurahia au kushangilia mtanange huu hawabadili chochote, the fact kwamba tunadaiwa.
Nadhani wangelipa tu ili kuondokana na fedheha hii.
Mbona mmekuwa wazalendo kwa mbowe japo anadhulumu ruzuku ya chadema na fomu mmemlipia agombee tena.
kwa bahati mbaya mno, wapinzani hapa nchini bado hawajatambua majukumu yao kama vyama vya upinzani, sasa ukiwa na watu wa aina hii ambao bado hawajajitambua ni hatari.
Pole kwa Rais wa JMT kwa ndege yake kukamatwa.Pasco Uneshindwa kusema chochote japo kumuunga Mkono Rais lkwa Ndege kukamatwa Hata pole jamani!
Hatuwezi kushirikiana na serikali katika dhuluma. Kwa nini ufurahie kudhulumiwa mkulima (eti kwa vile mzungu) halafu upinge kudhulumiwa Chadema, ACT au mwandishi wa habari?Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
Nimenusa hii post ni matata sana! Unaonaje ukii translate kwa kimatumbi ili na sisi wa kata tupate huu ujumbe murua!Pascal Mayalla,
My brother pascall, we were not happy coz of our plane being detained in south africa, no no no, we were happy coz this awamu ya tano thinks that they are clever than even God himself, if you see a president who kills, orders 37 bullets to be pumped into an opposition mp, orders the military to buy korosho yet korosho is nowhere near things like rockets, sumarines or fighter jets,a president who denies people right to express themselves, what else do you expect from the majority of those who such a dictator president is opressing??? i can tell you pascal my brother for free, lots of us will be more than happy if God sends this person(you know who i am talking abaut) to hell fire where he RIGHTFULLY BELONGS, nice weekend bro
Aina ya uandishi wako ni ya kimafumbo na yenye kuvhochea fikra. Lakini lazima mtu asome between the lines ndio atafaidika na post zakoBaba unaponunua vitu vya nyumbani, huwa unashauriana na watoto wako nyumbani?.
P
Thinking yako kama mendeWametumia ground ipi ya kisheria kuikamata Ndege yetu.
Mwezi uliopita Zitto Kabwe alikuwa Africa kusini alipitia Burundi kwenda kushawishi ndege yetu Watanzania ikamatwe eti awe na Nguvu kisiasa kwa Kushirikiana na akina Marem.
Ameshindwa mchezo wa kuisaidia nchi yake ya BRD kwa kutaka Kigoma iwe dhaifu kuliko kwao. Endelea Zitto na Genge lako
Labda janga kwako na familia yako. To me it doesn’t make any difference. Ikamatwe isikamatwe i don’t care.Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako