Ubabaishaji wa CHADEMA

Ubabaishaji wa CHADEMA

Chadema sio chama cha kushika dola, hakina dra yoyote
 
1. Kujifanya unajua kila kitu bila kusikiliza mawazo ya wengine ni UDIKTETA HASWA
2. So wanafki ni wengine na si Makomeo aliyefanya zoezi kwa upendelea na kumuacha Bashite bado anapumulia
3. Hilo zoezi la madawa ya kulevya lilifanyika kwa uonevu na kutaja vigogo ili waliwe mali zao, mjipange
4. Alikurupuka bila kujua impact ya mbeleni lazima alaumiwe
5. Umeirudia
6. Kwani uongo
7. Na wengi sana watawakimbia
8. mpaka 12 patupu....................................
 
Akili zako unazijua mwenyewe.Pole sana.

Chama Cha Mauaji miaka 55 mlichoweza kufaniakiwa ni Mauaji,utekaji,utesaji,wizi wa raslimali za Taifa period.Mengine peleka Lumumba
Bora zangu kuliko za wadeki lami
 
Ili uwe shabiki wa upinzani wa tanzania lzm uwe na uwezo mdg wa kufikiri ...
 
Ukiwa upande wa mpuliza kipenga ni rahisi sana kubeza upande wa pili wa timu pinzani maana unajua watakapojibu mapigo rungu la mpuliza kipenga litawashukia.Kwaiyo acha uchokozi ndugu.
 
Hawa ni wapiga kelele, waliopoteza uhalali wa kuwa chama mbadala chenye hadhi ya kuwatumikia wananchi, baada tu ya kumpokea Mzee ENL, ambaye waliwaaminisha wananchi kwamba hana sifa za kuwa kiongozi mkuu wa nchi.

Ni wapigaji wenye kufukuzia fursa, wanayo bei yao, ukiweza kuwaita chemba na kuongea nao kiutu uzima, basi utaifahamu tu hiyo bei.
 
1. Chadema walikuwa wakimlalamika Rais Kikwete kuwa ni Rais mpole, anatabasamu tu wanataka Rais mkali. Leo hii amepatikana Dk. Magufuli, Rais mkali wamegeuka na kuanza kumuita “dikteta uchwara”. Undumila kuwili hautawaacha salama

2. Ni Chadema hawa hawa waliokuwa wakichukizwa na watu kupeana ajira kiholela pasipo kuzingatia uwezo wala elimu ya mtu. Leo hii Rais Magufuli amefanya uhakiki wa ajira na kubaini wenye vyeti vyeki, majina feki na waliopata ajira kwa njia isiyo rasmi. Ajabu yake, Chadema wanajitokeza kulaani watu kutimuliwa kwenye kazi zao. Unafki hautawaacha salama.

3. Ni Chadema hawa hawa walikuwa wakitaka mapapa wa matumizi ya madawa ya kulevya wakamatwe na kutajwa hadharani, ilipofika wakati wanatajwa hadharani wakageuka na kuanza kulaumiwa kuwa si vyema kuwataja Watu hadharani kwani tunaaribu CV zao mitaani ni baada ya Bosi wao kutajwa pia. Kumbe mkuki kwa Nguruwe, kwa binadamu mchungu.

4. Ni Chadema hawa hawa walikuwa wakitaka Serikali ikusanye kodi kwenye maini, leo hii Rais Dk. Magufuli ameanzisha vita ya kiuchumi ya kuhakikisha kodi stahiki inalipwa kwenye madini kitendo kilichopelekea baadhi ya migodi kufungwa kutokana na wawekezaji kukimbia ulipwaji wa kodi. Migodei imefungwa, ajira zimepungua Chadema wanajitokeza kulaani kitendo cha Watu kupoteza ajira zao na kuilaumu Serikali. Ni Serikali iliyofunga migodi au waliokuwa wakichimba madini wamesitisha uchimbaji kutokana na kushindwa kuchimba madini? Serikali ina lawama kweli hapo? Ila Chadema wanasema ni Serikali ilaumiwe kufungwa migodi.

5. Hao hao Chadema wanasema kodi ikusanywe lakini wakati huo huo wanalaani Wafanyabiashara wakubwa kukamuliwa mno kwa kodi zinazokusanywa. Au walitaka hizo kodi walipe au watozwe kina nani kama si Wafanyabiashara wakubwa?

6. Ni hawa hawa CHADEMA walimuita KIKWETE Vasco Da Gama kisa anaenda sana nje ya nchi wakati ana balozi wa Mambo ya Nje na Uhusiano kimaifa kaja Magufuri kazuia safari za nje ziisiizo na tija wameanza kusema haendi nje sababu hajui kingereza unafik hauta waacha salama

7. Ni hawa hawa walisema Mhe Lowassa ni FISADI na over their dead body hawawezi kumruhusu kujiunga na Chama Chao lakini walimpokea na kumpa UFALME

8. Ni hawa hawa walimfukuza uanachama ZITTO KABWE kwa kutishia kwenda mahakamani kudai haki ya kichama kugombea UENYEKITI....ni yule yule Mwanaharakati anayejifanya MKUU WA SHERIA NCHINI aliyemtshia Zitto akihusisha Mahakama is OUT OF THE CHAMA....leo hii wanajifanya wanapigania MHIMILI wa MAHAKAMA

9. Ni Hawa hawa waliolalamika kuwa wameibiwa kura na kuilaani serikali iliyopo Madarakani kuwa imetumia wizi kuingia madarakani...lakini tena ni wao wao walikuwa wa kwanza KUMPONGEZA Kenyatta aliyetangazwa mshindi kwa kura za wizi kudeki LAMI hakutawaacha salama

10. Ni hawa hawa walimwita Dr. Slaa chaguo la Mungu, mkombozi wa watanzania na wanyonge, leo ni anaitwa msaliti namba moja

11. Ni hawa hawa waliwaita CUF na kutuaminisha kuwa ni CCM B chama cha mashoga, waliberali leo ndio wamekua watetezi wao na kuungana katika UKAWA yani CHADEMA wameungana na chama walichosema ni chama cha utetezi wa MASHOGA.

12. Ndio hawa hawa walimtukana Naibu spika Tulia wakidai anaharibu bunge, hana busara wakavaa mpaka matambara mdomoni na wakimsifu Ndungai kuwa ni spika safi , kipindi yu mgonjwa leo Ndugai tena Hafai.
Chadema sio Chama cha siasa. Ni chama cha watetea wezi. Chama cha siasa hakiwezi kudandia hoja. Chama kimejaa umbea na kimekosa mwelekeo. Ni chama cha wapumbavu na malofa. Kwisha habari yao. Mbowe muuza ngada, Lowassa fisadi Papa, Lissu mla. Rushwa wa kutetea mabeberu, Lema kavurugwa Marinda yaani wote maji kanyaga.
 
Chadema sio Chama cha siasa. Ni chama cha watetea wezi. Chama cha siasa hakiwezi kudandia hoja. Chama kimejaa umbea na kimekosa mwelekeo. Ni chama cha wapumbavu na malofa. Kwisha habari yao. Mbowe muuza ngada, Lowassa fisadi Papa, Lissu mla. Rushwa wa kutetea mabeberu, Lema kavurugwa Marinda yaani wote maji kanyaga.
Mkuu CHADEMA ni SACCOS
 
Ni shida kwakweli, watu wanaenda Ufipa akili wanaacha nyumbani.
 
Back
Top Bottom