Ubabaishaji wa CHADEMA

Ubabaishaji wa CHADEMA

Mlionunuliwa ni nyie CCM kiasi kwamba mnachoweza kufanya ili kuwaprotect wawekezaji ni kuwaua wanaojua siri za wawekezaji.

Siyo tu mmenunuliwa na wawekezaji mmelisabishia TAIFA hasara ya mabilioni huku mkigawa madini yetu bure mkipewa vishares vichache vya kuwafunga midomo.

Siyo kununuliwa tu hata huyo mnayemuona ni mungu wenu ana skendo za kivuko kibovu,chaguzi zilizotegemea wizi wa mabilioni ili kumfanya awe RAIS,Escrow ilisaidia jamaa yenu kuwa Rais sasa unapopiga mawe angalia nyumba uliyokaa ni vioo vitupu.

Huyo mnayedhani ni Malaila ndiye anaykwapua mabilioni kwa kusingizia kununua ndege,kujenga uwanja nk nk. Hivi mpaka leo amewapa hata mrejesho wa pesa anavyotumia??

Mwizi ni mwizi tu ameweka nduguze kila sehemu ili kurahisisha wizi,halafu mnakuja huku kushangilia.
Weka facts mezan kakwapua wp na ln? na ziko wp?
 
kavunja sheria gan namba gan ya mwaka gan?Kavunja kipengere kipi katika katiba?

Tatizo lenu mnashangilia hata kwa maovu ila siku moja mtakuja kujua anavunja sheria ipi,tena akijinasibu kabisa bora kuua kuliko kumwacha mtu asurvive,uhuru wa mtanzania kuishi unaondelewa,hivyo kuvunja haki za binadamu.

Unavunjia watu nyumba sababu ya chuki za kisiasa bila hata compansation halafu ati tunajenga miundo mbinu kwa faida ya nani?Hapo amevunja haki za mtanznaia kuwa na nyumba ya kuishi.

Amevunja haki zetu rasmi za kupata information na kushare information,kukosoa serikali iliyopo madarakani.

Cha msingi acheni upumbavu wa kudhani Mpinzani hana haki na MwanaCCM ndiyo mwenye hati miliki ya Tanzania.

Hii bongo ni yetu sote haina mwenye hati miliki wote ni wa kupita tu.Hata huyo Mwenyekiti wenu anapita tu hajui lini na wapi ataitwa.Msiwe na kiburi mkadhani maovu yanadumu
 
Weka facts mezan kakwapua wp na ln? na ziko wp?

hahahahahhahahah Kivuko kibovu bilioni nane,nyumba za serikali kuhonga mahawara hujaona report ya CAG?? Au baada ya utawala huu mmeamua kuzichoma moto??

Majizi makubwa msitufanye watanzania mbumbumbu
 
hahahahahhahahah Kivuko kibovu bilioni nane,nyumba za serikali kuhonga mahawara hujaona report ya CAG?? Au baada ya utawala huu mmeamua kuzichoma moto??

Majizi makubwa msitufanye watanzania mbumbumbu
Tazama hii video na msikilize Kamanda Sumaye akielezea uuzwaji wa hizo nyumba

Tatizo lenu mnashangilia hata kwa maovu ila siku moja mtakuja kujua anavunja sheria ipi,tena akijinasibu kabisa bora kuua kuliko kumwacha mtu asurvive,uhuru wa mtanzania kuishi unaondelewa,hivyo kuvunja haki za binadamu.

Unavunjia watu nyumba sababu ya chuki za kisiasa bila hata compansation halafu ati tunajenga miundo mbinu kwa faida ya nani?Hapo amevunja haki za mtanznaia kuwa na nyumba ya kuishi.

Amevunja haki zetu rasmi za kupata information na kushare information,kukosoa serikali iliyopo madarakani.

Cha msingi acheni upumbavu wa kudhani Mpinzani hana haki na MwanaCCM ndiyo mwenye hati miliki ya Tanzania.

Hii bongo ni yetu sote haina mwenye hati miliki wote ni wa kupita tu.Hata huyo Mwenyekiti wenu anapita tu hajui lini na wapi ataitwa.Msiwe na kiburi mkadhani maovu yanadumu
kavunja sheria gan namba gan ya mwaka gan?Kavunja kipengere kipi katika katiba?
 
kavunja sheria gan namba gan ya mwaka gan?Kavunja kipengere kipi katika katiba?

Nimeshakutajia usinisumbue na upumbavu wakati uanjua fika amevunja sheria gani na katiba iinasemaje.
 
Padua Padua mkuu,earache walambe mataapishi yap wenyewe chama dume kinapasua anga mbaya
 
kila kitu kwa kiasi,kama umewatoa makazini watu ambao walikuwa hawana vyeti stahiki kwa nini usiwape ajira wenye vyeti vinavyo stahiki? kama mtu hana vigezo kazini fuata taratibu zinazo stahiki katika kumwajibisha
upole au ukali ukizidi pia ni tatizo,raisi ni baba wa wote bila kujali itikadi,mila,desturi,dini nk,treat them equally kwani nchi huwa haina mwenyewe
kila jambo na wakati wake
 
Nimeshakutajia usinisumbue na upumbavu wakati uanjua fika amevunja sheria gani na katiba iinasemaje.
Hakuna sehem uliyotaja sheria iliyovunjwa na ni namba gan ya mwaka gan au kuna sehem umetaja na ku quote kifungu
 
Ndefu haina maana nafikili mwandishi anajifunza kuandika najua hajui neno upinzani maana yake.
Hata hivyo umenitahidi mwanzó mzuri
kwani maana ya upinzani ni kupiga kila jambo,maana ukipinga kila jambo his wananchi sio mbumbumbu kiasi hicho
 
Hakuna sehem uliyotaja sheria iliyovunjwa na ni namba gan ya mwaka gan au kuna sehem umetaja na ku quote kifungu

Tafuta access usome mwenyewe,nilichofanya ni kukupa hint mengine unayoleta sana unatafuta mengine.

Chama Cha Mauaji naogopa Nissan Patroll
 
Hawa jamaa walisema mengi sana ambayo nadhani yalikuwa mazuri ila sijui wakati huo CCM walikuwa wanasema nini. Natamani kufahamu hilo. Hata hivyo mtu mwenye akili nzuri atagundua kuwa ugomvi mkubwa kati ya CHADEMA na serikali ni namna ya kushughulikia hayo wanayoyaibua sio kwamba serikali inakosea kuyashughulikia bali inakosea namna ya kuyashughulikia kiasi kwamba yanabaki kuwa tatizo la kudumu wakati serikali ikidhani imetibu.
 
wangapi mahakama imeamuru warudishwe makznini baada ya ukiukwaji katika kufukuzwa kwao? au wewe upo nchi gani
Watumishi 3000 wameshinda rufaa zao chakushangaza wameambiwa wanarudishwa kwa mafungu wakati walitolewa kwa pamoja! Hili hamlisemi mbona?
 
Back
Top Bottom