Mtalebani Mweupe
JF-Expert Member
- Mar 12, 2020
- 566
- 655
Kuna uzi upo jukwaa la biashara kama sikosei, unaeleza kwa kina, humo kuna madini konki
Nikiuona nitakupa link yake.
Sawa wakuu nashkuru sana, Ngoja niupitie uzi huu kwanza mkibahatika kuupata huo mwengine msisahau kutupia link, na mimi ntaenda kuu search nikiupata nitaweka link hapa kwa msaada wa wengine.Ukifanikiwa kufungua usinisahau kwenye u DJ tuipromote Radio yetu ki burudani [emoji41]
Mkuu pitia uzi huu jamaa Radio Producer kachanganua vizuri, kuna thread nyingine nakutafutia niliwahi kuisoma nayo imejaa madini, Ni mada inashabiana na yako kabisa..
Msaada: Jinsi ya kutengeneza kituo (kidogo) cha fm radio
Habari wanajukwaa, naamini kwenye jukwaa hili kuna wataalamu wa kada mbali mbali na ndio sababu ya jf kuheshimika na kuzidi kuwa na wanachama wengi tujipongeze kwa hilo. Bila kupoteza muda niende kwenye mada yangu ya msingi inayohusu jinsi ya kuunda kituo cha radio kwa kutumia vifaa vya radio...www.jamiiforums.com
Kama bado haujafanikiwa kupata ufafanuzi...unaweza kusoma hizi thread au ukawasiliana na huyu mkuu.Habari Wakuu,
Ninaomba msaada kwa wenye uelewa kwenye Masuala ya Ufunguzi wa kituo cha Radio.
Nina ndoto ya siku nyingi ya kuweza kumiliki kituo cha Radio ila kwa sasa ninataka nijipange ili itapofika Mwishoni mwa mwaka 2022 kama mungu akinijaalia uhai niwe nishafungua hii Radio Station.
Kiuhalisia hii ni ndoto yangu na ninataka kuitimiza, ila kiukweli kabisa sijui pakuanzia (NI MWEUPE) Kuhusu suala la kuanzisha na day to day Operation.
Hivyo nilitaka ufumbuzi juu ya masuala haya hapa chini!
1.Kwa sasa nilitaka kujua vifaa gani vinahitajika kwa kuanzia kwenye operation nzima ya Radio.
2.Gharama Minimum niwe na kiasi Gani?
3.Process zikoje kwa upande wa Serikali kwenye kutoa vibali nk.
4.kama kuna kampuni inayodeal na Installation ya mambo ya Radio pia ntaomba nisaidiwe.
5.Kuhusu wafanyakazi ukiwatoa watangazaji ni fani gani ambayo wanalazimika kuwepo kwenye Operation ya kila siku.
Kama kutakuwa na mengine ya ziada nitaomba muongezee kwa wenye uelewa wenu,
Shukrani.
Chief-Mkwawa Njunwa Wamavoko snipa Mwl.RCT Nyasiro kadoda11
We we ni konde boy? Unaanzisha Konde Fm?Habari Wakuu,