Uangalizi wangu [my observation] kuhusu urais wa Rais Magufuli

Usemayo yana ukweli kiasi chake tatizo watu wengi wanao muunga mkono magufuri ni mbumbu na wasio elewa hii nchi kwa sasa na wananchi wake wanapitia magumu kiasi gani kuanzia uchumi, siasa, elimu, afya na mengineyo,
ndio maana inapaswa watu wawe na elimu ya kutosha wafumbuke macho.
We unajua nn?
 
Da
Rais Magufuli keshamaliza miaka miwili kamili tokea ashike madaraka mwaka 2015.

Katika miaka hiyo miwili amekuwa akipingwa sana, akikosolewa vikali, na kudhihakiwa kwa kila namna hususan humu JamiiForums.

Kama ulimwengu ungekuwa ni huu huu wa JF basi mtu ungeweza kudhani kuwa wanaomuunga mkono Rais Magufuli ni idadi ndogo sana ya watu.

Lakini ukweli wa mambo, kwa mtazamo wangu, ni tofauti kabisa na taswira ijengwayo humu JF dhidi yake.

Huku uraiani Rais Magufuli anakubalika sana, hususan na watu wa kawaida wenye maisha ya chini na kati.

Ndiyo, wanaompinga wapo. Hawawezi kabisa kukosekana. Ila mtu ukiitumia JF kuwa ndo kipimo cha kukubalika au kutokukubalika kwake, hakika itakula kwako.

Kwa mfano, naamini kabisa ikiwekwa kura ya maoni humu JF kuhusu ‘approval’ au ‘disapproval’ ya urais wa Magufuli, atashindwa vibaya sana. Walio wengi wata ‘disapprove’.

Jambo hilo linanizidishia imani yangu kuwa kuna ‘disconnect’ kubwa tu kati ya uhalisia wa JF na uhalisia wa uraiani na mashinani.

Kwa mtaji huo, mimi naamini kabisa kuwa 2020 Rais Magufuli atashinda ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi mkuu. Itakuwa kinyume na ilivyokuwa kwa Kikwete....alishinda kwa kishindo kwenye awamu yake ya kwanza na kwenye awamu ya pili akapata ushindi mdogo sana kulinganisha na ule wa awali.
Umeona mbali saaaaana nyaningabu Na ndio uhalisia ila kundi la mapimbi litakushambulia kwa hoja yako murua viva maguu
 
Umeisema watu wa chini, kwani wanajua kinachoendelea, si ndiyo wale wanaosikiliza radio station ya taifa inayosifia kila kitu kiwe kibaya, kizuri twende tu
 
Nyumbu is your rightful name.

You are too dumb you don’t even understand half of the stuff that you read!
garbage isn't meant to be understood
i can confidently conclude you didn't know a damn thing you were writing
the words in bold incriminate your ignorant behind
 
Saa hizi kila watu. Wakulima, wafanyabiashara na wafanyakazi wanalalamika maisha magumu. Na lawama zote wanampa Magufuli. Popularity ya huyu jamaa inashuka vibaya mno. Si JF si mtaani.
 
Mkuu ulichokizungumza ndo uhalisia.
Ndo maana mkuu hua anawapotezea tu wateme nyongo zao zisije waumiza, kiukweli anaechukulia jukwaa Kama kipimo cha kukubalika au kutokubalika kwa Magufuli imekula kwake.
Jamaa asilimia kubwa ya watanzania wanamkubali ile mbaya ,research imefanyika na inaendelea kufanyika nchi nzima.
za twaweza au....maana wanakupa simu afu wanakupigia kukuoji.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom