Uandishi wa essay.

Uandishi wa essay.

Mtinda

New Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Swali ni kutaka kujua kuwa uandishi wa essay mzuri ni upi kwani essay huwa na introduction,mainbody na conclusion sasa swali langu nihivi baada ya introduction unaanza kuandika points za swali uliloulizwa kwa kuanza na "The following are causes,problems etc.. Sasa the following inaandikwa kwenye aya yake inayojigemea au inaunganishwa na introduction? Nahitaji majibu yenu..
 
Inategemea; Uko level gani ya Elimu?

kwa kawaida elimu ya bongo,hiyo inakuwa kwenye introduction. ili mainbody ianze na points tu .Kuna uandishi mwingine ambao sio maarufu ambao unaunda thesis statement then ndo unaunga na hiyo sentensi. then unaanza point katika mainbody.cha msingi kwenye mainbody ni points na blabla kama hizo zinakuwa huko juu aidha kwenye intro au thesis statement ko wewe ndo utachagua iliyo bora zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom