utilitarian
Member
- Mar 2, 2017
- 63
- 122
Habari yako ndugu msomaji wa huu uzi !
Nimepata tatizo kidogo kwenye simu/rununu yangu nilibadili app iliyokuwepo kwenye simu baada ya kuvutiwa na app nyingine ambayo niliona kwenye sanduku la programu ( Play store ), niliondoa iliyokuwepo hiyo app na kuweka nyingine, hapo ndio tatizo lilianzia. siwezi kutuma arafa ( sms ) wala kupokea arafa ( sms ) wakati tiyari nimeshaweka app nyingine ya message kila nikituma inaandika failed.
Naomba kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia cha kufanya juu ya app nzuri ambayo naweza kuiweka kwenye simu yangu niweze kuendelea kupokea na kutuma jumbe fupi za simu ( sms ) atakuwa amenisaidia sana
Ni hilo tatizo moja tu simu yenyewe ni TECNO POP1.
Ahsante sana.