F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Sep 14, 2014 #21 Mentor said: farkhina hebu kam vere fast! Mimi nnazonunua nnaeza kuchemsha tu au kukaanga. Huwa napenda kuzipika na tambi au kunywea chai asubuhi... Click to expand... Kama kuzipika na tambi pika hivi ni simple. Mahitaji Tambi Sausage Mafuta kiasi Saumu Limau Nyanya....zisage Chumvi kiasi... Pilipili manga.... Namna ya kutaarisha.... Zioke kidogo soseji zako kwa muda wa dakika 5-10.... Katika sufuria chemsha maji akichemka weka tambi zako zikiwiva mwaga maji......weka pembeni Soseji zikiwiva zikatekate vipande.. Katika sufuria nyengine weka mafuta kiasi weka saumu kidogo sana na pilipili kama ukipenda kaakanga kwa dakika 3. weka sausage halafu weka nyanya acha ichemke hadi kuwiva (ukiona nyepesi sana weka nyanya ya kopo..... Weka pilipili manga chumvi na limau kiasi... Epua tayar kwa kuliwa Cc Viol daughter ram Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mentor said: farkhina hebu kam vere fast! Mimi nnazonunua nnaeza kuchemsha tu au kukaanga. Huwa napenda kuzipika na tambi au kunywea chai asubuhi... Click to expand... Kama kuzipika na tambi pika hivi ni simple. Mahitaji Tambi Sausage Mafuta kiasi Saumu Limau Nyanya....zisage Chumvi kiasi... Pilipili manga.... Namna ya kutaarisha.... Zioke kidogo soseji zako kwa muda wa dakika 5-10.... Katika sufuria chemsha maji akichemka weka tambi zako zikiwiva mwaga maji......weka pembeni Soseji zikiwiva zikatekate vipande.. Katika sufuria nyengine weka mafuta kiasi weka saumu kidogo sana na pilipili kama ukipenda kaakanga kwa dakika 3. weka sausage halafu weka nyanya acha ichemke hadi kuwiva (ukiona nyepesi sana weka nyanya ya kopo..... Weka pilipili manga chumvi na limau kiasi... Epua tayar kwa kuliwa Cc Viol daughter ram
alma gemela JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 842 Reaction score 280 Sep 14, 2014 #22 Farkhina. Nimemiss mapishi yako
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Sep 14, 2014 #23 alma gemela said: Farkhina. Nimemiss mapishi yako Click to expand... Alma huonekani ati jf chef usijali ntakua naku mention ok?
alma gemela said: Farkhina. Nimemiss mapishi yako Click to expand... Alma huonekani ati jf chef usijali ntakua naku mention ok?
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,760 Sep 15, 2014 #24 Angel Nylon said: Viol kwa nini kuna nyengine hazifai kuchemsha? Mi za kuchemsha ndo nazipenda Click to expand... hata mi za kuchemsha nazipenda sana Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Angel Nylon said: Viol kwa nini kuna nyengine hazifai kuchemsha? Mi za kuchemsha ndo nazipenda Click to expand... hata mi za kuchemsha nazipenda sana
daughter JF-Expert Member Joined Jun 22, 2009 Posts 1,275 Reaction score 748 Sep 15, 2014 #25 Asante Sana dada,will try it.