Ni bora ukichaa Wa kuvaa chupi kichwani kuliko wa kwako ndugu yangu.. Hivi unajua sasa wanaotetea ccm mmekua kama wehu kuongelea visivyowezekana, Mara jk ni profesa wa siasa, wasira anaweza kupiga msamba Wa van damme, magufuli anaweza kukwepa risasi, sijui mmekuwaje asee. Mmoja juzi ananiambia eti kati ya sera zitakatumika name Dr John Pombe Magufuli kubadili upepo wa kampeni ni kuhakikisha mipango ya bajaeti inatimia toka 30% mpaka 50% kwa kumtumia wema sepetu kama kitega uchumi cha serikali ijayo ya ccm kwa kuwaombea mikopo kwa kina pedejee ndama,mbuzi,n.k!
Last edited by a moderator: