Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 24,905
- 33,484
Tumefika hapa kwasababu ya kina Sumaye, Lowassa na Kina ChengeHuu ni uamuzi mzuri wa kujenga ukuta lakini tunachosema hapa ni kuwa tumefikia hapa kwa sababu ya mafisadi ccm
Tumefika hapa kwasababu ya kina Sumaye, Lowassa na Kina ChengeHuu ni uamuzi mzuri wa kujenga ukuta lakini tunachosema hapa ni kuwa tumefikia hapa kwa sababu ya mafisadi ccm
Asante mkuu kwa kunifungua macho.. ila what i know people are smart, and whatever security measures we impose they will find a way to bypass it... so motion detectors na PIR sensors zaweza kusense mienendo ya chini kama tunnel itachimbwa siyo? kwa depth gani labda...wengine wanaweza kuzifunga na kuzitupa juu ya ukuta zikaangukia nje wakapita getini vizuri kuokota mali yao...
Nikuondoe hofu, hilo wazo lako pia ni gumu sana kwa utekelezaji wake, kumbuka kuwa baada ya serikali kugundua hila kadha wa kadha ninaamini watapenyeza ma shushushu lukuki watakaoajiriwa pale kama wafanyakazi ambao hawatakua wakijuana, hii imetumika sana kwenye makampuni ya ujenzi wa barabara hapa nchinisawa mkuu... wataweka reinforcement kwa concrete kali mita ngapi kwenda chini labda...
Tumia akili zako timamu ulizojaaliwa na Mungu na kujiuliza ni kwa nini kazi ya kujenga Ukuta huo imekabidhiwa JWTZ!? Ukipata jibu, natumaini litakusaidia kuondokana na dhana hiyo ya kuchimba mahandaki ili kutorosha madini.Ni sawa lakini angalizo..tunaweza kujenga ukuta sawa tena uwe imara kama ule wa gereza la Guantanamo bay, wakati wanajenga wenzao watakuwa wanachimba njia za chini kwa chini za kutorosha madini kimagendo.. kama inawezekana wauza madawa wanachimba tunnels kutoka mexico hadi marekani sidhani kama hawa watashindwa kuchimba kutoka mererani ije kutokea KIA... walinzi waache kulinda getini wadhani wameshinda
Nilivyoelewa mimi mkuu pale patakuwa na kambi ya jeshiNi sawa lakini angalizo..tunaweza kujenga ukuta sawa tena uwe imara kama ule wa gereza la Guantanamo bay, wakati wanajenga wenzao watakuwa wanachimba njia za chini kwa chini za kutorosha madini kimagendo.. kama inawezekana wauza madawa wanachimba tunnels kutoka mexico hadi marekani sidhani kama hawa watashindwa kuchimba kutoka mererani ije kutokea KIA... walinzi waache kulinda getini wadhani wameshinda
Umeshaanza siasa,mleta bandiko kasema tuweke siasa pembeni,tujadili mambo yenye tija tu.WaTz makamasi matupu.Wakija hapa watakuambia Mbowe ndiye aliyeuweka kapuni huo mpango.
Kabisa mkuu ndiyo maana huu uzi wachangiaji wachache maana sio wakisiasa ila mashabiki maandazi wa kisiasa watakuja kuwaharibu tu huu uzi mkuu.Umeshaanza siasa,mleta bandiko kasema tuweke siasa pembeni,tujadili mambo yenye tija tu.WaTz makamasi matupu.
Haya ni mawazo mazuri sana ya kuimalisha usalama wa ndani. Mimi layman ningependa tu kujua HUU WIZI ULIOKUWA UNAENDELEA ULIKUWA UNAFANYIKAJE? Kwani kwa kufahamu vyema mbinu zinazotumika ndivyo unavyoweza kuwa na mbinu bora za kuzuia.Maamuzi mazuri kabisa ya ujenzi wa uzio/ukuta katika maeneo hayo, hii hatua ikiisha serikali TRA wajipange vizuri kwa ukusanyaji wa mapato, ila kizuri zaidi serikali ihakikishe biashara yote ya Tanzanite ifanyikie hapo na kuwe na soko kubwa la ndani, ilikuwa ni vigumu biashara kufanyikia hapo kama hakuna uzio. Pia BOT waache kulala, waweke desk lao pale na waanzishe kitengo cha ununuzi na uuzaji wa Tanzanite ndani na nje ya nchi, wao kwa kuwa ni watalaam zaidi waangalie jinsi watakavyofanya. Kwa kweli tukisimamia vizuri haya madini gold, diamond & Tanzanite yanaweza yakatutoa, kwa sasa Madini yote yanachangia only 5% ya pato la taifa , ni kiasi kidogo sana, asilimia kubwa ya madini bado hayajalinufaisha taifa ,aibu gani kwenda nje kuomba msaada wa bil 10 wakatu huo Tanzanite ya bil 30 inatoroshwa KIA?
Je, tunaweza kusema kwamba CCM sasa imekubali kwamba mwenyekiti wake John Magufuli anataka wabadilike waondokane na ufisadi?
Yaani wakubadiliane na mabadiliko?
Ukiona mtu anatoa sababu ya matatizo yake kuwa yamesababishwa na mwenzie ujue huyo ana matatizo makubwa kuliko anavyojijuaHuu ni uamuzi mzuri wa kujenga ukuta lakini tunachosema hapa ni kuwa tumefikia hapa kwa sababu ya mafisadi ccm