Uamuzi wa kujengwa ukuta kuzunguka Mererani kulinda madini ya Tanzanite ulifikiwa mwaka 2002, lakini ukawekwa kapuni

Asante mkuu kwa kunifungua macho.. ila what i know people are smart, and whatever security measures we impose they will find a way to bypass it... so motion detectors na PIR sensors zaweza kusense mienendo ya chini kama tunnel itachimbwa siyo? kwa depth gani labda...wengine wanaweza kuzifunga na kuzitupa juu ya ukuta zikaangukia nje wakapita getini vizuri kuokota mali yao...

Naweza kusema tu kwamba upo uwezekano wa kujaribu kukwepa aina hii ya udhibiti lakini zipo teknolojia mbalimbali.

Kwa mfano zipo nyenzo za kuweka hivyo vitambuzi yaani "motion detectors na sensors"

Hizi Sensors zinaweza kutambua hata mwenendo wowote ule wa ardhini au chini yake na kukutaarifu.

Mara nyingi ukifunga hizi "sensors" waweza kuambiwa kuwa kuna sense ya mbwa, au paka au hata mdudu yoyote mkubwa.

Narudia tena haiwezekani kudhibiti kwa asilimia 100, lakini kuhusu mapato na thamani ya madini yetu adimu Tanzania haitakosa mapato yake mapana.
 
wazo zuri nadhani pia kuna haja ya kuisimamia Ofisi ya Rais ili kufanya matumizi ya kodi zetu kwa mujibu wa sheria..
hili litasaidia sana ili tusifike mahali mtu anamwambia MPWA wake, mpwa chota tukajenge airport nyumbani..
au mtu anaamua tu ah huyu bashite wa kabila langu ngoja nimpe OC kubwa..
unasaidia kuziba matundu kwenye ndoo ya jirani wakati kwako ni pakacha linalovuja.
 
sawa mkuu... wataweka reinforcement kwa concrete kali mita ngapi kwenda chini labda...
Nikuondoe hofu, hilo wazo lako pia ni gumu sana kwa utekelezaji wake, kumbuka kuwa baada ya serikali kugundua hila kadha wa kadha ninaamini watapenyeza ma shushushu lukuki watakaoajiriwa pale kama wafanyakazi ambao hawatakua wakijuana, hii imetumika sana kwenye makampuni ya ujenzi wa barabara hapa nchini
 
Ni sawa lakini angalizo..tunaweza kujenga ukuta sawa tena uwe imara kama ule wa gereza la Guantanamo bay, wakati wanajenga wenzao watakuwa wanachimba njia za chini kwa chini za kutorosha madini kimagendo.. kama inawezekana wauza madawa wanachimba tunnels kutoka mexico hadi marekani sidhani kama hawa watashindwa kuchimba kutoka mererani ije kutokea KIA... walinzi waache kulinda getini wadhani wameshinda
Tumia akili zako timamu ulizojaaliwa na Mungu na kujiuliza ni kwa nini kazi ya kujenga Ukuta huo imekabidhiwa JWTZ!? Ukipata jibu, natumaini litakusaidia kuondokana na dhana hiyo ya kuchimba mahandaki ili kutorosha madini.
 
Wachimbaji wadogo yaan (wanaapolo) waambulia patupu maana huruhisiwi kutoka na hata gram 1maana mlango ni mmoja tu Wa eneo zima juu ya ukuta kuna fensi ya umeme sambamba na kamera
 
Uuuuuuwiiiiii tangu 2002 mpaka leo....??? basi hili changa la macho tayari
 
Maamuzi mazuri kabisa ya ujenzi wa uzio/ukuta katika maeneo hayo, hii hatua ikiisha serikali TRA wajipange vizuri kwa ukusanyaji wa mapato, ila kizuri zaidi serikali ihakikishe biashara yote ya Tanzanite ifanyikie hapo na kuwe na soko kubwa la ndani, ilikuwa ni vigumu biashara kufanyikia hapo kama hakuna uzio. Pia BOT waache kulala, waweke desk lao pale na waanzishe kitengo cha ununuzi na uuzaji wa Tanzanite ndani na nje ya nchi, wao kwa kuwa ni watalaam zaidi waangalie jinsi watakavyofanya. Kwa kweli tukisimamia vizuri haya madini gold, diamond & Tanzanite yanaweza yakatutoa, kwa sasa Madini yote yanachangia only 5% ya pato la taifa , ni kiasi kidogo sana, asilimia kubwa ya madini bado hayajalinufaisha taifa ,aibu gani kwenda nje kuomba msaada wa bil 10 wakatu huo Tanzanite ya bil 30 inatoroshwa KIA?
 
Ni sawa lakini angalizo..tunaweza kujenga ukuta sawa tena uwe imara kama ule wa gereza la Guantanamo bay, wakati wanajenga wenzao watakuwa wanachimba njia za chini kwa chini za kutorosha madini kimagendo.. kama inawezekana wauza madawa wanachimba tunnels kutoka mexico hadi marekani sidhani kama hawa watashindwa kuchimba kutoka mererani ije kutokea KIA... walinzi waache kulinda getini wadhani wameshinda
Nilivyoelewa mimi mkuu pale patakuwa na kambi ya jeshi
 
Mafisadi wawazae wao, wachache wakatumbuliwa wengine wakaogopwa.
Matatizo wayatengeneze wao, machache wayashughulikie, mengine wakayaita MAKABURI, wakaogopa kuyafukua.
Changamoto wazitengeneze wao, halafu wakazifanya SERA ZA KAMPENI zao.
Utekelezaji wake wakesema hapa ni kazi tu
Mwenye angalau mapenzi mema na Tanzania yetu ndio hana HEKIMA NA BUSARA

MTANZANIA zinduka hiki CHEUSI CHEKUNDU
 
Maamuzi mazuri kabisa ya ujenzi wa uzio/ukuta katika maeneo hayo, hii hatua ikiisha serikali TRA wajipange vizuri kwa ukusanyaji wa mapato, ila kizuri zaidi serikali ihakikishe biashara yote ya Tanzanite ifanyikie hapo na kuwe na soko kubwa la ndani, ilikuwa ni vigumu biashara kufanyikia hapo kama hakuna uzio. Pia BOT waache kulala, waweke desk lao pale na waanzishe kitengo cha ununuzi na uuzaji wa Tanzanite ndani na nje ya nchi, wao kwa kuwa ni watalaam zaidi waangalie jinsi watakavyofanya. Kwa kweli tukisimamia vizuri haya madini gold, diamond & Tanzanite yanaweza yakatutoa, kwa sasa Madini yote yanachangia only 5% ya pato la taifa , ni kiasi kidogo sana, asilimia kubwa ya madini bado hayajalinufaisha taifa ,aibu gani kwenda nje kuomba msaada wa bil 10 wakatu huo Tanzanite ya bil 30 inatoroshwa KIA?
Haya ni mawazo mazuri sana ya kuimalisha usalama wa ndani. Mimi layman ningependa tu kujua HUU WIZI ULIOKUWA UNAENDELEA ULIKUWA UNAFANYIKAJE? Kwani kwa kufahamu vyema mbinu zinazotumika ndivyo unavyoweza kuwa na mbinu bora za kuzuia.

Kwani bado mzigo unaweza kupita getini kwa declaration tofauti, ukapita kama kitu kingine au ukapita mzigo mkubwa kana kwamba ni mzigo wenye thamani ndogo.
 
Je, tunaweza kusema kwamba CCM sasa imekubali kwamba mwenyekiti wake John Magufuli anataka wabadilike waondokane na ufisadi?

Yaani wakubadiliane na mabadiliko?

Ccm na ufisadi ni sawa na uji na mgonjwa
bb0e69721d05f6cd59612bf9e570efb5.jpg
 
Huu ni uamuzi mzuri wa kujenga ukuta lakini tunachosema hapa ni kuwa tumefikia hapa kwa sababu ya mafisadi ccm
Ukiona mtu anatoa sababu ya matatizo yake kuwa yamesababishwa na mwenzie ujue huyo ana matatizo makubwa kuliko anavyojijua
 
Mi huwa nachoka kusapoti chochote kile maana hamna accountability. Yaani zitakusanywa za kukusanywa na hutosikia matumizi.

Ila miaka hii tutajenga hadi tukome.
 
Back
Top Bottom