Uamuzi wa ku-cheat ni wake

😁😁😁
 
Kupitia stori ya baltazar nimejiridhisha wanawake wanacheat sana tena sana,sema wasiri sana ngumu kuwagundua
Teh, nawashangaaga sana wanaume wanaojibana kuhudumia sana mwanamke eti ili asipate vishawishi akaenda kumchiti kwa mwanaume mwingine.

Mlioyaona kwa Baltazar ndo tabia halisi ya mwanamke, akiamua atachiti tu hata umpe mbingu na nchi
 
Zinapatikana wapi hizo video 400? alonazo tuwasiliane pembeni
 
Uislamu peke ndo ilioelewa mwanamke ni wa aina gani na ukamuekea mipaka na jinsi ya kujistili kwa wanaume wasio waume zake
Nimewapiga piga Tanga wavaa hijab wale ndio wazuri wakati wa kuingia Gest anajifunika mwili wote anawezapishana hata na mumewe mule Gest

Kiufupi wale ndio hatari Bora Mama ntilie achokaye na kazi mgahawani.
 
Teh, nawashangaaga sana wanaume wanaojibana kuhudumia sana mwanamke eti ili asipate vishawishi akaenda kumchiti kwa mwanaume mwingine.

Mlioyaona kwa Baltazar ndo tabia halisi ya mwanamke, akiamua atachiti tu hata umpe mbingu na nchi
Mkuu umemaliza kila kitu,wanawake wanacheat kama sisi tu wanaume hakuna tofauti
 
Wewe ndiye hujielewi kabisa
 
Teh, nawashangaaga sana wanaume wanaojibana kuhudumia sana mwanamke eti ili asipate vishawishi akaenda kumchiti kwa mwanaume mwingine.

Mlioyaona kwa Baltazar ndo tabia halisi ya mwanamke, akiamua atachiti tu hata umpe mbingu na nchi
Tatizo ni nyie kudhani wanawake hawana hisia
 
Embu tumuone wa kwako huyo high standard
 
Nimewapiga piga Tanga wavaa hijab wale ndio wazuri wakati wa kuingia Gest anajifunika mwili wote anawezapishana hata na mumewe mule Gest

Kiufupi wale ndio hatari Bora Mama ntilie achokaye na kazi mgahawani.
Huoni hata wasagaji wengi wanajitanda na kujisitiri?
 
Wanasemaga ukioa Binti bikira hawezi chiti, sasa katika idadi hiyo ya wake za watu alopita nao ina maana wote hawakuolewa na bikira zao?
 
Uislamu peke ndo ilioelewa mwanamke ni wa aina gani na ukamuekea mipaka na jinsi ya kujistili kwa wanaume wasio waume zake
Kuna Binti wa kiislamu anafunika uso na mwili safi kabisa na kaolewa,,, alikuwa anapenda kwenda kununua nyama kwenye bucha la jamaa angu mmoja hivi mitaa Fulani jijini daslamu.... Siku moja bana jamaa akamtongoza Binti hakubisha wala nini kiroho safi jamaa akaenda Nae guest kamuweeeka!!! Kwanzia asubuhi jamaa tumemshikia bucha hadi mida yaa saa 10 jioni wanatoka... Ikawa mtindo wao, tukaona sio vizuri tukamwambia jamaa etu aache hiyo tabia ni mke wa mtu na pia ana watoto ingekuwa ndo mkewe angejisikiaje? Jamaa akabisha tukamwambia tunakukataa sisi, ndo jamaa akaogopa akaachana Nae....

Itoshe tu kusema hofu ya kweli ya Mungu ndo itamuepusha mtu kufanya mabalaa sio uisilamu na kuvaa majuba au kuwa tu mkristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…