Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,225
- 219,400
Taarifa kutoka Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya inasema kwamba Uamuzi wa Kesi hiyo inayogusa maslahi ya Taifa , utatolewa 7/8/2023 , hii ni baada ya Mahakama hiyo kumaliza kusikiliza hoja za Mawakili wa Pande zote .
Hayo yameelezwa na Jaji Ndunguru , ambaye alizungumza Kwa niaba ya Majaji waliosikiliza shauri hilo .
Kwa kipekee Jaji Ndunguru amemwagia sifa nyingi wakili Boniface Kajunjumele Mwabukusi kwa kuonyesha Weledi wa hali ya juu kuanzia mwanzo wa kesi hadi mwisho .