Uamuzi wa Kesi ya Mkataba Wa Bandari na DP WORLD kutolewa 07/08/23, Mahakama yamsifu Mwabukusi kwa weledi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,743
218,334
Taarifa kutoka Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya inasema kwamba Uamuzi wa Kesi hiyo inayogusa maslahi ya Taifa , utatolewa 7/8/2023 , hii ni baada ya Mahakama hiyo kumaliza kusikiliza hoja za Mawakili wa Pande zote .

Hayo yameelezwa na Jaji Ndunguru , ambaye alizungumza Kwa niaba ya Majaji waliosikiliza shauri hilo .

Kwa kipekee Jaji Ndunguru amemwagia sifa nyingi wakili Boniface Kajunjumele Mwabukusi kwa kuonyesha Weledi wa hali ya juu kuanzia mwanzo wa kesi hadi mwisho .

Screenshot_2023-07-29-19-02-06-1.jpg
 
... mara baada ya Wakili Mwabukusi na timu yake kuhitimisha hoja zao Mahakama Kuu Mbeya; presidential jet imeonekana ikichana mawingu fasta na kutua Dubai thereafter the Kingdom of Saudi Arabia! Haijafahamika mara moja ni kwanini!
 
Hawa Waheshimiwa Majaji watu (3) wamepata fursa adhimu ya kuandika historia itakayosomwa hadi na vitukuu vyao!
Dhana ya Checks and Balances ambayo wanaijua vizuri wai- prove sasa na waandike historia.
Waangalie hapo Nchi Jirani Kenya waone Majaji wenzao wanafanya nini kwa maamuzi ya kipuuzi ya wanasiasa !
 
... mara baada ya Wakili Mwabukusi na timu yake kuhitimisha hoja zao Mahakama Kuu Mbeya; presidential jet imeonekana ikichana mawingu fasta na kutua Dubai thereafter the Kingdom of Saudi Arabia! Haijafahamika mara moja ni kwanini!
Ohoooooo !!!!
 
Taarifa kutoka Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya inasema kwamba Uamuzi wa Kesi hiyo inayogusa maslahi ya Taifa , utatolewa 8/7/2023 , hii ni baada ya Mahakama hiyo kumaliza kusikiliza hoja za Mawakili wa Pande zote .

Hayo yameelezwa na Jaji Ndunguru , ambaye alizungumza Kwa niaba ya Majaji waliosikiliza shauri hilo .

Kwa kipekee Jaji Ndunguru amemwagia sifa nyingi wakili Boniface Kajunjumele Mwabukusi kwa kuonyesha Weledi wa hali ya juu kuanzia mwanzo wa kesi hadi mwisho .

View attachment 2702367
Alafu Kuna wapumbavu wengine wa uvccm wanakuja majukwaani na kumtukana wakiri Msomi Mwabakusi kuwa anaingia Mahakamani na kwenye mahojiano akiwa amelewa. Hawajui hata rafudhi za watu wa Mbeya zenye kuonesha msisitizo katika hoja.
Kongole Mwabakusi kwa kutuwakilisha vyema vijana wa nyanda za juu kusini especially Mbeya.🤝
 
Ngoja tuone kama hawatapigiwa simu…usismini hivi vicheko…hao majudge hata Rostam alishasema wanaweza pigiwa simu
Hapo ndipo nitakapoona kweli mhimili mmoja umejichimbia juu ya mihimili mingine nyakati zote. Huku case inayomhusu, yeye huhooo kimya kimya Dubai mpaka Saudia🤣🤣
 
Back
Top Bottom