Uamuzi wa Kesi inayomkabili Makonda iliyofunguliwa na Kubenea kutolewa leo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,850
218,563
Mahakama ya Kinondoni leo itatoa uamuzi wa mapingamizi yaliyowekwa na DPP ya kuzuia Kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka inayomkabili Paulo Makonda.

Kesi hiyo Kabambe ambayo imefunguliwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo Saed Kubenea imeamsha hisia za wananchi, huku wengi wakiitaka ipewe nafasi ya kusikilizwa ili zijulikane mbivu na mbichi.

Kama kawaida, mimi nzi wenu Erythrocyte niko kwenye viunga vya mahakama nikinusanusa yatakayojiri ili kukuletea Taarifa kamili.
 
Itafutwa, Makonda ni mshirikana sn
 
Sabaya soon anarudi kitaaani,stay tuned!!
whatever the case,
1. Funzo kubwa amelipata,
2. Mtaani ataaishi kwa shida sana, hana kinga tena wapo watakao taka kurudisha kisasi hasa wale waliokatwa masikio!
 
Mahakama ya Kinondoni leo itatoa uamuzi wa mapingamizi yaliyowekwa na DPP ya kuzuia Kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka inayomkabili Paulo Makonda.

Kesi hiyo Kabambe ambayo imefunguliwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo Saed Kubenea imeamsha hisia za wananchi, huku wengi wakiitaka ipewe nafasi ya kusikilizwa ili zijulikane mbivu na mbichi.

Kama kawaida, mimi nzi wenu Erythrocyte niko kwenye viunga vya mahakama nikinusanusa yatakayojiri ili kukuletea Taarifa kamili.
nafikiri utakuwa umekimbia kabisa hapo mahakamani kwa aibu ya unafiki wako yaani mnatengeneza kesi za michongo mfunge watu wasio na hatia wakati hata sheria hamzijui ona sasa imetupiliwa mbali kafungue na wewe ya kwako
 
Ni kawaida hata Mbowe katoka
Sema kosa moja la Mheshimiwa mzee Mbowe. Nikupe makosa ya JAMBAZI Sabaya.

Sabaya kama mlivyo MaCCM wote KAUA, AMELAWITI , Amebaka, kakata watu masikio, kapiga misumari kwenye miguu ya watu na UJAMBAZI.

Na Ushahidi upo.
 
nafikiri utakuwa umekimbia kabisa hapo mahakamani kwa aibu ya unafiki wako yaani mnatengeneza kesi za michongo mfunge watu wasio na hatia wakati hata sheria hamzijui ona sasa imetupiliwa mbali kafungue na wewe ya kwako
Ngoja tuwasiliane na mwanasheria wa Kubenea
 
Back
Top Bottom