Uamuzi wa huyu binti naupa heko!

Uamuzi wa huyu binti naupa heko!

kabla ya kumhukumu baba, tunahitaji kupata maelezo yake. Kwanini huyo binti hajawahi kumwambia mama yake au hata balozi. Jamani we need to know the other side of the coin...great thinkers hawakurupuki

^^
Upande wa baba sina maelezo,,lakini sababu anayoitoa binti ni kuwa anaogopa kuvunja uhusiano wa kindoa na anasisitiza kuwa hapendi kumtoa chozi mama yake.
Ni ngumu kuamini lakini ndio uhalisia.
^^
 
Mzazi ana umri gani! Kama ni under 45,years ndo mzee kijana! Blood bado inachemka! Ni HATARI
 
Kuna wazazi wengine nikama mashetani......! Kuna dada mmoja alinihadithia the way alivyobakwa na baba yake chumbani kwake wakati akiwa tilalila na baba yake mwenyewe ni muathirika na mpaka sasa mama yake hajui chochote kuhusu ilo tukio.. So sad kwakweli sijui ulimwengu huu unaelekea wapi

^^
Lady doctor
Mimi imenitokea kujua hili,nikadhani ni la kwanza Kumbe ni wengi inawatokea?
Ama kweli,mwanamke akiamua kutunza siri anaweza,
^^
 
Last edited by a moderator:
Mzazi ana umri gani! Kama ni under 45,years ndo mzee kijana! Blood bado inachemka! Ni HATARI

^^
Ni kama 41 hivi,,lakini Yegoo kwani wanawake wa mitaani hawapo? Ukiona mkeo hakuridhishi,,huoni ukiweka wazi tatizo linaweza kuisha? Damu yako,,ee Mungu niepushie,,ukizidiwa heri punyeto! Aaa
^^
 
Last edited by a moderator:
^^
Ni kama 41 hivi,,lakini Yegoo kwani wanawake wa mitaani hawapo? Ukiona mkeo hakuridhishi,,huoni ukiweka wazi tatizo linaweza kuisha? Damu yako,,ee Mungu niepushie,,ukizidiwa heri punyeto! Aaa
^^

Vile vile akila damu yake anadhurika?
 
Last edited by a moderator:
The saddest aspect of life right now is that science gathers knowledge faster than society gathers wisdom." Mungu atusaidie.........
 
^^
Nimeamini nyumba zetu ni nzuri nje lakini yanayoendelea ndani ni siri inayoumiza.
^^
Binti mmoja ambaye ni kati ya miaka 24 hadi 26 hivi,ameamua kuondoka kwao na kuishi kwa kupanga baada ya baba yake mzazi,kumtaka kimapenzi kwa muda mrefu.
^^
Binti huyu alinieleza haya baada ya kuwa ameapa kuwa wanaume wote ni mashetani,na kuwa hataolewa kamwe.
Pamoja na jitihada za kumsaidia aondokane na mtazamo huo kuzaa matunda kiasi,binti huyu anasimulia kile anatamka 'ushenzi' wa wanaume kuwa baba yake amekuwa akifanya matendo ya kimapenzi na mfanyakazi wake wa ndani,na yeye amenusurika kubakwa na baba yake mara kadhaa.
^^
Nilipodadisi kujua mama yake,anasema nini,alijibu hajui lolote na hakuwahi kumwambia.Na tena hata alipoamua kuhama,mama yake analaumu kuwa binti yake amekuwa malaya Lakini kilichomo ndani ya moyo wake ni chuki dhidi ya baba yake.
^^
Swali ambalo bado najiuliza,,ni kweli tumefika mahali tunashindwa kudhibiti miili yetu? Makovu haya tutayatibu vipi? Inaumiza.
^^
Nianze kwa kukujibu swali lako kuwa hapo shida si kuthibiti miili yetu. Jinsi ilivyo wapo wagonjwa wa kila sampuli basi wenye matatizo ya akili na kisaikolojia wapo pia.

Binti kachukua uamuzi wa busara wa kuepusha migongano katika familia. Nampa heko kwa hilo. Ila twende mbele, turudi nyuma haya mambo yapo sana kwenye jamii yetu ila utaratibu wetu wa maisha unafanya yasionekane. Binti kama huyo angeamua kumshitaki baba yake (hatua stahiki) ndugu wote wangemweka kikao kwamba amekosea, alichofanya si kizuri, afute kesi irudi kujadiliwa nyumbani na kadhalika.

Kuna baba wengi wanabaka watoto mama zao wanafahamu na wanaamua yaishie nyumbani tu. Kuna kijana nilisoma naye alikuwa anasimulia jinsi mamake alivyokuwa anafanya naye mapenzi babake akiwa kasafiri. Swali langu ni lini tutaona sawa watu hawa wanaobaka watoto wa kuwazaa au wakufikia (pedophiles) washitakiwe na kufungwa ili wakae mbali na jamii iliyostaarabika??
 
mmmmmmmhhhhhhhhhh ndio mwisho wa dunia huo

huyo mzee shwaini kabisa
 
Kuna wazazi wengine nikama mashetani......! Kuna dada mmoja alinihadithia the way alivyobakwa na baba yake chumbani kwake wakati akiwa tilalila na baba yake mwenyewe ni muathirika na mpaka sasa mama yake hajui chochote kuhusu ilo tukio.. So sad kwakweli sijui ulimwengu huu unaelekea wapi

Unajua ule msemo wa wazazi ni mungu wa pili hauna maana tena. Huyo ni mmoja wa mabinti wengi wanaoteseka na hali hiyo. Hata mimi huwa najiuliza tumefika wapi na tunaelekea wapi. Binti atakua ameumizwa sana huyo mzee na itamchukua muda mrefu kumsamehe babake. Mpe pole sana . Yaani hawa wababa na hata wamama wanaofanya vitendo hivyo wamekua kama mimbwa jamani.

Son f a bit*h/ Bastard

du ushwetani mkubwa
wanawake tulivo wengi kama nyota angani?

smile hujakutana na watu wenye malalamiko ya dizaini hiyo?
Kuna wababa wengine wameumbwa na roho ya kuku(jogoo) hata mwanae anampandia

yaani nashindwa kukubali ukweli
hii dunia sio fair kwa kweli

duh bado anaishi? kuna watu wana mizigo mioyoni mwao jamani...sijui kama ningeweza

nivigumu kuamini lakini kuna wenzetu hukutana na hilo janga!

bado anaishi! Tena mdada mwenyewe ndio hawa form 4 wetu wa juzi... Akikuhadithia waweza lia ati na baba anadunda wala hana wasiwasi.. Huku mama mtu akiendelea kumpetipeti mumewe bila kujua nini kinaendelea.

aise hi ni shida....dah..

mdogo jamani...akija kuwa mtu mzima sijui atakuwa na roho gani...maana kwa sasa haelewi viziri ujue

wenye roho ndogo wanaishia kujiua,haya mambo sijui kama yatakuja kwisha maana sijui dunia hii inaelekea wapi sahv....
Hizi message zinaonesha ni kwa jinsi gani mioyo inaumia kwa tabia mbaya ya mwanaume huyu ambaye hastahili hata kuitwa baba. Wanawake chukueni hatua, wanaume tunaoelewa tutawaunga mkono kimawazo na kifedha
 
mi nilivyo mmbea
ningekua nishamwambia mama
siku nyingi hata kabla sijahama,huyo
baba ni shetani,kama kuna wadogo zake haoni kua
na wao itakua hivyo?amehama nyumbani,amweleze mama
sababu ya yeye kuhama,ili kukomesha tabia ya baba,vingine si
vya kukalia kimya,hii miwanaume jamani khaaaaa?!!!!
 
Nianze kwa kukujibu swali lako kuwa hapo shida si kuthibiti miili yetu. Jinsi ilivyo wapo wagonjwa wa kila sampuli basi wenye matatizo ya akili na kisaikolojia wapo pia.

Binti kachukua uamuzi wa busara wa kuepusha migongano katika familia. Nampa heko kwa hilo. Ila twende mbele, turudi nyuma haya mambo yapo sana kwenye jamii yetu ila utaratibu wetu wa maisha unafanya yasionekane. Binti kama huyo angeamua kumshitaki baba yake (hatua stahiki) ndugu wote wangemweka kikao kwamba amekosea, alichofanya si kizuri, afute kesi irudi kujadiliwa nyumbani na kadhalika.

Kuna baba wengi wanabaka watoto mama zao wanafahamu na wanaamua yaishie nyumbani tu. Kuna kijana nilisoma naye alikuwa anasimulia jinsi mamake alivyokuwa anafanya naye mapenzi babake akiwa kasafiri. Swali langu ni lini tutaona sawa watu hawa wanaobaka watoto wa kuwazaa au wakufikia (pedophiles) washitakiwe na kufungwa ili wakae mbali na jamii iliyostaarabika??

^^
Nimekupata Saibog
^^
 
Last edited by a moderator:

mi nilivyo mmbea
ningekua nishamwambia mama
siku nyingi hata kabla sijahama,huyo
baba ni shetani,kama kuna wadogo zake haoni kua
na wao itakua hivyo?amehama nyumbani,amweleze mama
sababu ya yeye kuhama,ili kukomesha tabia ya baba,vingine si
vya kukalia kimya,hii miwanaume jamani khaaaaa?!!!!

^^
Binti ana hofu kugawa familia,,nimemuunga mkono kwani katika maisha some experience in life We are to take them personally (silently)
Kueleza kila kitu ni ubwatukaji.
^^
 
smile hujakutana na watu wenye malalamiko ya dizaini hiyo?
Kuna wababa wengine wameumbwa na roho ya kuku(jogoo) hata mwanae anampandia
Huyo sio Bab yake au Story haijajitosheleza au ni ya kubuni
Bint ana miaka 24 keshahama kwao, mama mzazi kamwita malaya, yeye kanyamaza tu je Baba akimtukana zaidi ataacha kwenda POLISI?
Wazazi ni watu wengine kabisa huko aliko hawezi kuolewa mpaka arudi kwa baba yake akapewe ridhaa
Huko aliko kazi akipata lazima ampelekee baba yake mshahara wake wa kwanza katika mwaka au amnunulie gari
Leo baba kamkosakosa kumbaka asiende kwenye vyombo husika/

ngoja na wengine wachangie nitarudi
 
^^
Binti ana hofu kugawa familia,,nimemuunga mkono kwani katika maisha some experience in life We are to take them personally (silently)
Kueleza kila kitu ni ubwatukaji.
Himidini utafanya makosa sana mwache huyo Bint amtumie mtu yeyote kuufikisha huo ujumbe kuwa Baba yake MZAZI anataka au alitaka kumbaka hapo ndipo utakapokuwa walii mzuri
usichukulie jmbo hilo upande mmoja kwni hata hakimu akiletewa Kesi kuwa baba Mzazi kambaka atamtuhumu tu bali hataMHUKUMU kama unavyodai ni MBAKAJI, hebu kaa upande wa pili wa huyo Baba hata kwa kumtumia balozi au Mzee wa ukoo UTASHANGAA MAJIBU
Bint wa miaka 24 ni mtu mzima na ana wanaume wengi sana na Lukuki kukaa kwa Baba ni uongo kwani anatakiwa awe amemaliza Chuo Kikuu na kuanza kazi hivyo amlee baba yake sasa
 
Nitazingatia
^^
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom