Uaminifu uliotukuka

Uaminifu uliotukuka

Achana na picha, tulipokua shule taa ya bwalo la chakula iliungua. Ikabidi niitwe kuibadilisha, tulikosa ngazi ila palikua na meza haina mguu mmoja.
Kuna jamaa akajitolea atashikilia hapo pasipokua na mguu, kikawekwa kiti juu ya meza nikapanda, nikamaliza kazi vizuri, taa ilipowaka jamaa si akaachia meza kwa kujisahau. Hadi leo chembe moyo haijakaa sawa kutokana na lile tukio, nilianguka mbavu za kifuani ndio zikawa egemeo.....fulcrum
Dah so sad
 
Dah watu tunatofautiana sana mitazamo kwangu Mimi nadhani matukio mengi tunayoyafanya maishani yanaambatana na kuamini zaidi kuliko kukosa imani juu ya mtu Fulani.

Mifano michache.

1 unapanda gari linaloendeshwa na dereva ambaye humjui unamuamini tu mpaka unafika nyumbani salama.
2 unaugua ukienda kwa daktari bila kuwa na wasi wasi wowote unatekeleza tu atakachokuambia kutokana na kumuamini, mbona huwa hatuendi kwa mama zetu kwenda kutibiwa kwa wale tunaoamini mama zetu tu ?

3 unakutana na mtu anauza vitu unajilipua tu kununua kwa kumuamini

Nk
Kimsingi kila siku mambo tunayoyafanya yana ambatana na imani kwa mtu au watu fulani.
 
Back
Top Bottom