UAMINIFU NI WITO

Inategemea na who you are kwake i mean what type of a man you are kwake,wa hiyo ukaamua umchunge utaweza kweli??
Mwanamke ni akili yake, kama anakupenda bas atatulia
M namwachia mungu bhana itakavyokuwa na iwe ila magonjwa n mengi
 
Hapana, Nimejaribu kuona kuwa hilo la safari ya semina ni dogo, Kuna Makubwa zaidi ya hilo huko mbele. Ndio nikawaza kama kweli upo tayari kuyaishi.
Unadhani upo tayari kuoa? Kama jibu ni ndio, Upo tayari kumuamini?
N kweli uliwaza njee ya ukuta uko sawa nafikiri huenda kuna mengi namuwazia ila hahusiki navyoo
 
Mkuu, siraha kubwa ya kuishi na mwenza waako ni Kuaminiana.

Ushauri wangu, ili ujiepushe na mawazo potofu juu yaake jiepushe na kumpigia simu mara kwa mara. I mean waweza kumpigia asubuhi, mchana mkachati sms mbili tatu and then usiku kabla ya kulala ukampigia mkakasalimiana and other staffs.

Mfano, nikimpigia mwenza wangu asipopokea simu mara ya kwanza navuta muda kidogo nampigia mara ya pili asipopokea teena sirudii kumtafuta hadi pale atakapo nitafuta. Nshamzoesha hivyo and am happy with her.
 
Ntajifunza kujitengenezea yaminifu kama ulivyosema
Sema mkuu hawa viumbe nipasua kichwa unaweza waza mpka ukasema ni Bora nisiwe kwenye mahusiano

Believe me moja ya mambo yanayopunguza life span kwa mwanaume mostly n stress zinazoletwa na hawa watu

Tupilia mbali wengine wanaenda mpka kwa waganga kukufanya zezeta mkuu mahusiano yana mambo mengi

Kumbuka DON'T TRUST WOMEN

WAO NDO CHANZO CHA KILA DHAMBI HAPA KWA DUNIA HATA MAANDIKO YANASEMA KWA MIFANO NA HISTORY
 
Ili kuepukana na hizo stress, Fanya kama nilivyokushauri
 
naamini matatizo yako yataisha pindi utakavonilipa kwa nilichokufanyia ukanikimbia kisa uku ni Jf cwez kuukupat wal kukufahamuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…