Madam aliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea. Kuto kuanza kumuamini mpenz wako huwa kunakujaza na mawazo machafu ilihali hajawahi kufanya hayo. Mwishowe penzi litaingia sumu sababu ya kutokujiamini
Haya bhana
Binafsi najiamini sema nyie wenzetu kuwaamini ni kazi sana maana kila kukicha mnatongozwa
Jipe muda utafakari kama kweli upo tayari kuoa!Binafsi najiamini sema nyie wenzetu kuwaamini ni kazi sana maana kila kukicha mnatongozwa
Ndio mtu hachungwi ila n wangu kufaham maana abiria chunga mzigo wakoEeh mwamini tu hata kuku wa kienyeji unavyomfuga utatamani mitaa flani asikatize anaweza ibiwa lakini mwisho wa siku akataka kujaribu na akapita kuke usikokutaka,kwa ufupi mtu hachungwi hujichunga mwenyewe
Ndio mtu hachungwi ila n wangu kufaham maana abiria chunga mzigo wako
Cjawahi mfuma na mwanaume ila kunakipindi nilikutaga SMS za kijinga na ni kipindi alienda semina ivi iviiUkishakua mwanamke kutongozwa hakuepukiki, na usipotongozwa lazima ujitizame mara mbili swala sio kutongozwa swala hapa ni vile kujua uja mtu na kumpa heshima yake kwa kujitunza ww na mwili wako uliwahi kumfumania??
Cjawahi mfuma na mwanaume ila kunakipindi nilikutaga SMS za kijinga na ni kipindi alienda semina ivi ivii
Daaaa unajua hakuna kitu kikubwa kama upendo binafsi so siri namuelewa sana sema hayo yote uliorothesha hapo yangewezekana ningefanya ivooUnajipa kaz zisizo mshahara hata chooni utamsindikiza?? Akienda sokoni unaenda nay?? Kazini je?? Huo mzigo utahangaika nao mpaka lini? Huoni kukuchosha
Daaaa unajua hakuna kitu kikubwa kama upendo binafsi so siri namuelewa sana sema hayo yote uliorothesha hapo yangewezekana ningefanya ivoo
Hapana, Nimejaribu kuona kuwa hilo la safari ya semina ni dogo, Kuna Makubwa zaidi ya hilo huko mbele. Ndio nikawaza kama kweli upo tayari kuyaishi.We kwa fikra yako naigizaa
Ndio ni kichaka huwezi jua ananiwazia nn ila mwanamke ana akili ya kubadilika badilika