Mmmh. Mwanamke hajaumbiwa majukumu ya pesa. Shida ni kua pesa zao wanaficha sana na huko kwenye vikoba ndio shida. Mwanamke anakua na mshahara, mwanaume unapambana na maisha hata kukusaidia hakuna. Ukiwa kwenye shida na pesa ndio anatumia kama silaha ya kukubebesha mizigo mikubwa sana. Mimi kumwamini mwanamke siwezi kabisa, mwanamke kaa nyumbani mwezi huna kazi utaona madharau mpk mdomoni. Kuna watu wanaishi kwa kukopa na kutokulipa kisa walimikisha account zao kwa wanawake.