Uaminifu kwenye ndoa

Uaminifu kwenye ndoa

Exactly, what I meant in my above post. Yaani usifikirie hata siku moja kuwa na account ya pamoja. Hata kama ni miradi ni vizuri kuweka tu jointly owned basi.
Mhh, tena akiwa sio mmbongo ndio imkuka kwako.
 
Jinsia ya KE ndio wahanga wakubwa wa ndoa. Mwenye kuomba ushauri ni KE, mwenye kitendwa ni KE, na nk. KE you are the source of all this miseries, kaeni chini muangalie mlikosea wapi. Mungu aliumba dunia na pia mfumo wa utawala naamini aliupanga yeye kuwa ME ndio mtafutaji na KE ndio mleaji, sasa inapokua wote watafutaji na wote ni wapangaji na waamuzi kwa kile kilichotafutwa hapo lazima utokee mgongano tuu(gender equality and gender equity). Hii inapelekea singles mother wengi matokeo yake family nyingi zinakua kwa malezi ya upande mmoja, kaeni chini muangalie mmekosea nini na mnataka nini kwenye maisha yenu
 
Sasa kama kuna wanaume kama wewe wanapatikana wapi? Sisi tunachangia kuanzia chumvi na kitunguu. Anay way sasa ikiwa ni hivyo maswala ya kujenga unajenga mwenyewe na yeye anaambiwa tu akanunue vyungu vya maua nyumba imekwisha?
Piga ua hapo kwetu waafrika ndiyo majukumu yetu. Ukianza kuchanga na mke wako lazima uwe na roho ya uvumilivu kama mzee wa msoga usiwe ngangari Kama ...... Nadhani uliyaona ya nuh mziwanda maana Hela ya mwanamke ukiila malipo yake mhhuh
 
Exactly, what I meant in my above post. Yaani usifikirie hata siku moja kuwa na account ya pamoja. Hata kama ni miradi ni vizuri kuweka tu jointly owned basi.
Kwa wanywaji ukija umelewa atakupa maneno kama, sie tunajipinda migongo wewe unatumbua jasho Letu n.k. Yanauma hayo maneno usiombe.
 
Jinsia ya KE ndio wahanga wakubwa wa ndoa. Mwenye kuomba ushauri ni KE, mwenye kitendwa ni KE, na nk. KE you are the source of all this miseries, kaeni chini muangalie mlikosea wapi. Mungu aliumba dunia na pia mfumo wa utawala naamini aliupanga yeye kuwa ME ndio mtafutaji na KE ndio mleaji, sasa inapokua wote watafutaji na wote ni wapangaji na waamuzi kwa kile kilichotafutwa hapo lazima utokee mgongano tuu(gender equality and gender equity). Hii inapelekea singles mother wengi matokeo yake family nyingi zinakua kwa malezi ya upande mmoja, kaeni chini muangalie mmekosea nini na mnataka nini kwenye maisha yenu
Ndugu yangu dunia imebadilika, ke tunaendesha mabasi ya masafa marefu, sasa hili la kuleta pesa ndani halafu ipangiwe budget ngoja nilifanyie homework.
 
Piga ua hapo kwetu waafrika ndiyo majukumu yetu. Ukianza kuchanga na mke wako lazima uwe na roho ya uvumilivu kama mzee wa msoga usiwe ngangari Kama ...... Nadhani uliyaona ya nuh mziwanda maana Hela ya mwanamke ukiila malipo yake mhhuh
Wengine wanalipa kodi na akirudi usimuulize kwanini amechelewa. Haya mambo ya kuogopa watoto kulelewa na single parents nayo yanaleta manyanyaso kwenye ndoa. My take, kama humuamini ni kheri usepe.
 
Ndugu yangu dunia imebadilika, ke tunaendesha mabasi ya masafa marefu, sasa hili la kuleta pesa ndani halafu ipangiwe budget ngoja nilifanyie homework.
Sawa dunia imebadilika lakini mambo yanaenda sawa?
 
Wazimu huo, mwaminifu ni Muumba pekee, haya mengine tuvumiliane tu.
 
Na maranyingi wanaoanza kutoa pesa kwenye joint account ni wanaume, na ukiuliza unaambiwa juzi si nilijaza petrol full tank kwenye gari yako? Lakini tulipofungua ile joint account malengo hayakuwa petrol. Tena paho ameshatoa laki tano anakupoza wewe na laki moja.
Usilazimishe ku-shara vitu ambavyo havijawahi na haitawezekana mtu ku-share na mwingine. Thinking! Huwezi ku-share mawazo yako yawe sawa na mwingine. Ukishafikiri tofauti na mwenzako, matumizi hayawezi kuwa shared. Ukilazimisha psychology inasema ndo mwanzo wa frustrations. Frustrations ni matokeo ya matukio kutofanana na matumaini yako. be careful. Utasingizia Mungu hadi kaburini.
 
Dah... mwaminifu ni yule mwenye hesabu kali ambaye hajakutwa na bahati mbaya..... ni suala la muda tu 🙂
 
Usilazimishe ku-shara vitu ambavyo havijawahi na haitawezekana mtu ku-share na mwingine. Thinking! Huwezi ku-share mawazo yako yawe sawa na mwingine. Ukishafikiri tofauti na mwenzako, matumizi hayawezi kuwa shared. Ukilazimisha psychology inasema ndo mwanzo wa frustrations. Frustrations ni matokeo ya matukio kutofanana na matumaini yako. be careful. Utasingizia Mungu hadi kaburini.
In reality ninaifahamu familia moja mjini DSM, yule kaka alipenda sana kusoma na mpaka anamalipa PhD alikuwa single. Mdogo wake wa mwisho alitembelewa na rafiki yake wa O-level nyumbani, mtoto ni mzuri na alisoma na dada yake lakini waliachana pale O-level dada aliendelea A-level yule binti matokeo yake hayakua mazuri sana na alikua anauza stationery moja mjini. Kaka alipomuoana aliamua kurusha ndoana, mtoto mtu wa dini sana ilibidi jamaa aingize za kuoa straight away.

Any to cut the story shot, jamaa mwisho alipata kazi Botswana kama mhadhiri wa chuo, mke wake alikuwa mama wa nyumbani. Aliamua kumshirikisha mke wake katika mambo yake yote ya maendeleo, kwakua alisafiri sana kutoa mada katika university nyingi duniani, alimwambia mke wake ukiwa na shida yeyote chukua pesa utumia usinisubiri mimi.

Yule dada sasa familia anayotoka ni tia maji tia maji, si alianza kuchukua pesa akamnunulia mama kiwanja, akawa anajenga nyumba, baba akitoka kutoa mada huko pesa anaingiza mwenyewe wala hashughuliki. Ni mpaka alikutana na professor mwenzake wakawa na wazo la kufanya biashara kubwa, alisema mimi nina nusu ya capital, kwenda benk namba hazisomeki.

Hawakuwachana lakini mwanamke cha moto alikiona ndani ya nyumba.
 
Uaminifu kamili ni mgumu aisee.

Binafsi naamini binadamu kiasili huwa tupo waongo waongo kulingana na mazingira.

Hivyo, kwa mtaji huo, sidhani kabisa kama uaminifu wa asilimia 100 upo.

Na hiyo ni kwa sababu uaminifu ni siri ya mtu moyoni.
Umenena vyema mkuu uaminif ni siri ya mtu mmoja tu anayejiamini ila kushare uaminifu ni ngumu sana katika maisha ya ndoa.Watu wanaishi kwa upako wa hali ya juu lakini unakuja kusikia baadae fulani alichepuka katika ndoa yake mpaka unashikwa na butwaa.
Vigumu sana mtu wa pembeni kuahakiki uaminifu wa mtu mwingine ila muhusika ndiye anayejua kipimo cha uaminifu katika moyo wake.
 
Mara nyingine frustrations unazopata kwenye ndoa ndio zinakufanya usiwe mwaminifu.
 
Mbona kama nimeelewa tofauti dhamira ya mada yako Sky Eclat ina maana uaminifu kwenye ndoa ni swala la kushea account za pesa tu siku hizi?​
 
Mleta mada umerudi nyuma miaka 30. Ukitaka mgogoro usiyoisha ndani ya ndoa, husisha mambo yako ya maendeleo na fedha za my wife wako!
 
Back
Top Bottom