Kitaeleweka
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 394
- 88
- Thread starter
- #61
Police akihamishwa c snalipwa transfer fees? Haitakua na shida mayb ndo ntakuwa naexplore tz zaidi na kujijenga zaidi. Wakiniacha sehemu moja nayo ni nzuri ntaweka strong base hapo.Hayo ni mambo ya kupita tu! kwani kuna wangapi wanaofanya kazi onsite yaani wao leo uko bukoba kwa miezi 12 na wachina katika ujenzi wa barabara za Makufuri kesho kutwa anaenda Zanzibar kwenye mradi mwingine. Cha msingi tu wewe kuweka Base station yako ambapo utakuwa unapaendeleza kwa maisha ya baadaye. kingine kuhamahama si kama zamani coz serikali imeona cost kubwa kumhamisha mtu kwa muda mfupi tu kuna watu tangu nizaliwe yuko paleple mpka leo haohao police.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums