Ualimu Na Changamoto Zake

Ualimu Na Changamoto Zake

Mla_Chake

Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
89
Reaction score
43
Habarini za muda huu wadau...ni matumaini yangu kuwa mpo poa...
Nimekwama kidogo nahitaji msaada wenu wadau...mimi ni mwl ajira mpya nilipangiwa kituo mwaka jana mwezi wa 11....nikaripoti tar 22/11/2018 nikakamilisha taratibu zote chakushangaza hadi sasa hivi sijapewa pesa yakujikimu....nimejitahidi sana kupambana nao(halmashauri ya musoma) lakini naona saundi(maneno) zimekuwa nyingi. Sasa sijui nimuendee nani...hadi morali ya kazi imekata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mm nimepitia changamoto kama yako, ungeenda Utumishi tu Dodoma huenda kuna taarifa haijakamilishwa na halmashauri

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok nashukuru kwa ushauri ndugu
Ila kesho nategemea kwenda hapo halmashauri kwanza maana nimewacheki wananiambia vocha imesainiwa wamepeleka kwa mhasibu......ila dah wazinguaji sana aisee

Sent from my A37fw using JamiiForums mobile app
 
Nenda kaonane na mkurugenzi wako...kuwa na msimamo kuwa unafanya kazi hata pesa ya kujikimu hauna....wakupe muda urudi nyumbani mpaka watakapotimiza maslahi yako....hata ikipita miezi mitatu....ukiendelea kujitolea hivyo hutapata kitu....na hata wakikupa maneno ya wewe fanya kazi tu shikilia msimamo[emoji1614]
 
Huo ni mwanzo tuu utaelewa tuu kuwa fani uliyoiingia ni ya hatari kuliko hatari yenyewe
 
Nenda kaonane na mkurugenzi wako...kuwa na msimamo kuwa unafanya kazi hata pesa ya kujikimu hauna....wakupe muda urudi nyumbani mpaka watakapotimiza maslahi yako....hata ikipita miezi mitatu....ukiendelea kujitolea hivyo hutapata kitu....na hata wakikupa maneno ya wewe fanya kazi tu shikilia msimamo[emoji1614]
[emoji419][emoji419][emoji419]Asante ndugu kwa ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom