Ualimu kweli ni kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ualimu kweli ni kazi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Amina Thomas, Aug 2, 2012.

 1. Amina Thomas

  Amina Thomas JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 272
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mwalimu aliachia ushuzi darasani. Wanafunzi wakacheka sana. Kwa aibu mwalimu akachukua likizo ya wiki ili kupoteza so. Aliporudi akawauliza watoto, haya watoto hivi tuliishia wapi? Wakajibu tuliishia pale ulipojamba!
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  lol! mwalim lazima awe mnyonge
   
 3. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mwl ataomba likizo ya mwezi ili watoto wasahau kabisa
   
Loading...