Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,040
- 33,028
Wakuu leo nilikuwa napitia application ya alibaba nimeona kule wanauza pc kwa bei ya chini, yaani pc ina screen 15.6 GB 8 inauzwa. Tsh. 279,000 ... Na vitu vingne vingi vya quality kwa bei ndogo
Je, kuna wazoefu mliowahi kuagiza pc nje ya nchi especially kwa hawa alibaba. Pia vp wanaaminika kwa huduma zao .......naomba kuwasilisha
Je, kuna wazoefu mliowahi kuagiza pc nje ya nchi especially kwa hawa alibaba. Pia vp wanaaminika kwa huduma zao .......naomba kuwasilisha