Hawa wa hivi kuwapata kwa sasa ni mtihanimkuu they are also beautful without mapoudarView attachment 1447901
Wanavutia.
HakunaView attachment 14477511View attachment 14477522View attachment 14477533View attachment 14477544View attachment 14477555View attachment 14477576
Kwangu mimi,sura namba 6 inanivutia zaidi[emoji520]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanavutia.
Na hao ndio wanakuwaga na mashabiki wengi hasa wakijitupia huko mitandaoni kuliko wale wanaojitupia wakiwa na asili yao yaani bila makoro koro hayo hapo usoni.
305-690-0379 callMweka mada kama hauna namba zao jua we ni kenge!
Unatusumbua tu
Lazima iwepo mkui, maana macho yanaona vyombo vipya kila siku.
AiseeLazima iwepo mkui, maana macho yanaona vyombo vipya kila siku.
Hao ni wavulana sio wanaume...Mkuu sijajua wanawake wanaweka vitu bandia kwa sababu wanapenda wao,au sababu wanaume ndio wanapenda wanawake wakiwa hivyo
Nikiangalia jinsi wanaume wanavyoipa promo 'Chura' imesababisha wale walizaliwa naturally flat waanze kupaka dawa,kwahio nahisi labda chanzo ni wanaume?
Sent using Jamii Forums mobile app
macho ya 'paka'Namba tatu aisee.. napenda sana wana wake wenye macho ya hivyo.. ingewezekana ningewaoa wote dunia nzima
[emoji3][emoji3][emoji3]No. 2
Macho ya kiwizi wizi sana, haha ha haha wa hivi wanajifanyaga wastaarabu, yakubidi "ucheze bila kukunja goti"
Sent using Jamii Forums mobile app