Nani huyo?Tupo naye hadi 2035
Miye nahisi atakuwa wasira maana kila awamu yupoNani huyo?
Basi hayaMiye nahisi atakuwa wasira maana kila awamu yupo
ThubutuTupo naye hadi 2035
Umenifanya niikumbuke ile speech ya Makongolo na kicheko juuπMiye nahisi atakuwa wasira maana kila awamu yupo
Tafasiri zao huwa nyingi mno na huwa wanamuachia kila mtu apate tafsiri yake kwa roho mtakavitu! ... Kama ni Polo au Tchala utajua wewe!Gwaji boy amejiapisha kwa kusema
" Kama ua lisipokauka yeye basi sio Mtumishi wa Mungu na hafahi kumtumikia Mungu
Anaendelea kusema Ua likirudi kama lilivyokuwa yeye abaachana na Madhabahu"
Nami niliikumbuka nikapita humo humoUmenifanya niikumbuke ile speech ya Makongolo na kicheko juuπ
Mshirikina yuleGwaji boy amejiapisha kwa kusema
" Kama ua lisipokauka yeye basi sio Mtumishi wa Mungu na hafahi kumtumikia Mungu
Anaendelea kusema Ua likirudi kama lilivyokuwa yeye abaachana na Madhabahu"
ok.πUa sumu yako iliwalaza wengi, na sasa unakinyea kikombe kitamu cha sumawati. Uliyokuwa umande wa alfajiri ukageuka ukungu wa makaburi; harufu yako ikawa utenzi wa usingizi ambao waotaji wake hawakuamka kuisimulia.
Ulisuka nyuzi za tabasamu kwa sindano za sumu, ukawapa wengi maua huku mizizi yako ikinywa machozi yao. Hukujua kwamba hata kivuli kina mwisho wake, na kwamba mkono unaopanda miiba hauwezi milele kuvuna waridi.
Leo, ua limenyauka hatimaye. Si kwa sababu bustani imekosa umande, bali kwa kuwa majira yamevunja mkataba na mizizi. Kikombe ulichokinyanyua kwa shangwe kimegeuka kioo cha fumbo lako; na kile ulichokiita utamu huenda kikawa mwangwi wa uchungu uliowatangulia wengine.
Mto umehifadhi nyayo, udongo umeficha siri, na upepo umekataa kuwa shahidi. Waliolazwa na harufu yako hawana ndimi za kusimulia; walio hai wamebaki wakisoma jalada la kitabu ambacho kurasa zake ziliandikwa kwa wino wa machozi.
Hatimaye, hatutakukumbuka. Si kwa kuwa hukuwahi kuchanua, bali kwa kuwa hata maua yenye sumu huachwa na majira, na hata kivuli kinachotisha hujifuta jua linapobadili njia yake.
naona kikao cha wapiga ramli kinaendelea kwa mashairi ya kishirikina, right?Udongo ulijaa sumu ua likakosa nguvu, ndo hivyo ua limenyauka..!! π₯
Wenzio wakifiwa wanatulia ndani lakini wewe mwali kigego unapuyanga kila nyumba kama sio mfiwa..!!naona kikao cha wapiga ramli kinaendelea kwa mashairi ya kishirikina, right?
nami nataka niwe mpiga ramli ili niwe nashangilia na kufurahia vifo vya waja wa Allah kama wewe na washirikina wenzako?Wenzio wakifiwa wanatulia ndani lakini wewe mwali kigego unapuyanga kila nyumba kama sio mfiwa..!!
Em kaweke viti vya kukalia waombolezaji..!!