Yegomasika JF-Expert Member Joined Mar 21, 2009 Posts 13,164 Reaction score 61,272 Jul 8, 2012 #41 kulwa12 said: preta wewe kua halfcast sio sababu ya kunifanya mimi case study ya jinsi mtu anavyoweza kuvumilia upweke huu,ungenisaidia tu,nashukuru lakini. Click to expand... Kumbe nyie waswahili wa Pemba....kama vipi wewe mzukie tu kwani naona kama wamfahamu huyu yakhe!.
kulwa12 said: preta wewe kua halfcast sio sababu ya kunifanya mimi case study ya jinsi mtu anavyoweza kuvumilia upweke huu,ungenisaidia tu,nashukuru lakini. Click to expand... Kumbe nyie waswahili wa Pemba....kama vipi wewe mzukie tu kwani naona kama wamfahamu huyu yakhe!.
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 Jul 8, 2012 #42 Erickb52 said: Kijana Filipo upo kaka ? Click to expand... Msaidie kulwa we Erick! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
K kulwa12 Senior Member Joined Jun 30, 2009 Posts 103 Reaction score 28 Jul 11, 2012 Thread starter #43 kweli Arusha kazi ipo..no company!!
Vodka JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 906 Reaction score 96 Jul 11, 2012 #44 kulwa12 said: Jamani binti mrembo uliyepo hapa arusha ni pm tafadhari upweke unanimaliza...nimehamia hapa kikazi na niko hotelini tu..karibu japo tubadilishane mawazo na kupata kinywaji kwa muda..ni hilo tu wana familia wa jf arusha. Click to expand... subiri niwasiliane na yulee sema ni mtaalamu wa kuchuna.Je huko tayari?
kulwa12 said: Jamani binti mrembo uliyepo hapa arusha ni pm tafadhari upweke unanimaliza...nimehamia hapa kikazi na niko hotelini tu..karibu japo tubadilishane mawazo na kupata kinywaji kwa muda..ni hilo tu wana familia wa jf arusha. Click to expand... subiri niwasiliane na yulee sema ni mtaalamu wa kuchuna.Je huko tayari?
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,358 Jul 11, 2012 #45 kulwa12 said: kweli Arusha kazi ipo..no company!! Click to expand... Mimi nimeamua kukumbia.
LiverpoolFC JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 11,496 Reaction score 3,388 Jul 11, 2012 #46 kulwa12 said: kweli Arusha kazi ipo..no company!! Click to expand... Juza kituo popote ulipo muda huu! Nimechafukwa na roho,acha nikupe company popote ulipo muda huu hapa A town! Angusha kituo chap!
kulwa12 said: kweli Arusha kazi ipo..no company!! Click to expand... Juza kituo popote ulipo muda huu! Nimechafukwa na roho,acha nikupe company popote ulipo muda huu hapa A town! Angusha kituo chap!