U tube downloading application

U tube downloading application

yahooo

Senior Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
126
Reaction score
276
Jamani naombeni aplication a kudownload video za u tube kwenye androad ..kila ninayodown load mimi naona ni kimeo tu
 
Jamani naombeni aplication a kudownload video za u tube kwenye androad ..kila ninayodown load mimi naona ni kimeo tu

Tumia hii tube mate
Copy hii link Then paste kwenye browser yako

en.kioskea.net/download/download-24096-tubemate-youtube-downloader-for-android
 
Nimedown load tube mate kimbembe kipo kwenye mamna ya kuitumia kudown load
 
Nimedown load tube mate kimbembe kipo kwenye mamna ya kuitumia kudown load
Ukifungua Nenda pale juu sachi video unayoitaka zinaweza kuja nyingi play moja unayoitaka, ukiona ndio yenyewe bonyeza mshale wa kijani pale katikati.
Itakulete picha kama hiyo hapo chini, hapo unachagua ubora wa video au audio unaoutaka kisha utaona mshale mdogo wa kijani pale chini bofya hapo inaanza ku download.
1429130581994.jpg
 
Back
Top Bottom