U-single huu utaniua!

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
Yaani mchana unakuwa busy mpaka huoni umuhimu wa mapenzi,ila ikishafika mida hii naonaga kitanda kikubwa mno...aisee girl yeyote wa chit chat ambaye yupo single anionee huruma natamani hii mida nimkumbatie tu kifuani tupige story..sex sitaki ile kampani na uwepo wake inatosha.
 
hahahaha! haya bana, mmmh! angalia mkuu huko kukumbatia ucje fanya uschotaka
 

Tumekusikia.
 
Last edited by a moderator:
yaani wewe una matatizo makubwa sana huku una mke halafu unaanza kusarandia dimbani hapa
hivi unajua unaniboa na unainichefua kuwa :A S cry::A S cry::A S cry:
 
yaani wewe una matatizo makubwa sana huku una mke halafu unaanza kusarandia dimbani hapa
hivi unajua unaniboa na unainichefua kuwa :A S cry::A S cry::A S cry:
Mke mwenyewe siku ukinikumbuka ndo unanitafuta ndo mambo gani?
 
Ha ha njo mwaya mi mwenyewe natetemeka hapa kwa baridi! Loh!!!
jamani hivi hata huko kuna mvua?maana hapa tabu tu,nakuja mpenzi nipo njiani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…