Kwa kifupi, si mapenzi au kusahau matatizo ya wengine. Hayo matatizo mawili uliyoyataja pia yanafuatiliwa na wapenda hakii duniani. Utafahamu kuwa hayo yamekuja baadaye katika international affairs kuliko hili. Pili hili la Palestina linahatarisha amani ya dunia. Hakuna amani ya dunia inayohatarishwa na matatizo uliyoyataja.
Kinachotia wasi wasi ni kuwa 'hutambui' haki za Wapalestina, kama unavyosema, matatizo ya kujitakia wenyewe. Kweli wewe ni mpenda haki? Unaonaje mtu akija nyumbani kwako akamchukua mkeo na watoto wako na kuwafukuzilia mbali na akaleta familia yake, utakubali?
Kuna Wapalestina milioni 3 walifukuzwa nyumbani kwao tangu 1948 wakati dola la Israel lilipozaliwa, na sasa wanaishi katika mahema ya wakimbizi Lebanon na Syria baada ya ardhi na nyumba zao kuhodhiwa na Wayahudi ambao hata hawakuzaliwa Palestina, wameletwa kutoka Russia, Poland na sehemu nyingine?
Utasema nini ikiwa Wajerumani waliokuwa Tanzania miaka 1900 leo watoto wao warudi na waseme wana haki ya Wilaya ya Usambara kwa vile babu zao waliishi huko miaka 100 iliyopita utakubali? Hukubali. Na hii ni miaaka 100 tu iliyopita. Wayahudi wanasema wana haki ya Palestina kwa vile babu zao waliishi huko miaka 2000 iliyopita!
Lazima ufahamu, kuna Wayahudi wa Mashariki ambao walibakia Palestina mika yote hii, hawa Waarabu hawana matatizo nao. Wenye matatizo ni Wayahudi wa Magharibi ( Ashkenazi) ambao walikuwa raia wa mataifa mengine kwa miaka maelfu na maelfu na leo wanarudi kudai Palestina.
Nadhani hii kwa muhtasari imekupa maelezo ya tatizo hili.
Acha ku exagerate mambo. Iran haina uwezo kiasi hicho na hunya hunya ya sasa inadhihirisha jinsi tumbo linavyomsokota. Uwezo wa nchi za magharibi kuipiga Iran uko wazi na Iran inajua haiwezi kufua dafu mberle ya wababe hao. Tena naungana na wachangiaji waliosema itakuwa hatari kwa Iran kuachiwa kumiliki silaha za kinyuklia kwani kufanya hivyo ni kumkabidhi kichaa azurure na bunduki iliyosheheni risasi. Kwa rekodi tu Iran haikushinda vita dhidi ya Iraq bali ni Iraq ndiyo iliibuka mshindi kwa msaada wa Marekani. Ropoka ropoka ya Karzai itaiponza nchi na watu wake.Heri na fanaka ya Mwaka Mpya JF.
Mwaka 2012 umeanza kwa ishara mbaya kwa wale wanofuatia masuala ya matangamano ya Kimataifa. Ndiyo kwanza rais Barack Obama amesaini kuwekewa vikwazo benki kuu ya Iran, eti kwa sababu nchi hiyo 'ina matamanio' ya kuunda silaha za nuklia. Nimeweka neno 'matamanio' (ambitions) ndani ya vibango kwa kusisitiza kuwa hadi sasa hakuna dalili yeyote kama Iran ina maatamanio hayo. Iran yenyewe inasema haina.
Lakini, hata kama inayo, so what? Kwa nini vikwazo hivyo haviwekewi wengine, ambao wanazo hasa?
Kama asemavyo Ron Paul 'ukianza mkondo wa vikwazo hatimaye utaishia vita' Hii ndivyo ilivyotokea kwa nchi zote- Iraq, Argentine,Libya.....
(Nchi pekee ambayo vikwazo havijapelekea vita ni Cuba- lakini hii ni special case- kwani Marekani ilipatana na Soviet ya wakati ule kuwa isiiguse Cuba na Soviet haitaigusa Uturuki).
Kwa mujibu wa wachunguzi wengi, vita dhidi ya Iran vitatokea kabla ya mwezi Machi mwaka huu, kutokana na sababu nyingi ambazo uki google utaelewa. Wengine watasema, matishio mengi ya namna hii yamekwishatolewa tangu 2005. Nasema safari hii ni tofauti, hasa Syria ikianguka katika miezi miwili ijayo.
Kwa wale wasio na naamna nyingine ya kupata habari za uhakika, uhasimu wa Marekani na Iran una sababu mbili muhimu
1- Iran kuwa msitari wa mbele wa kutetea haki za WaPalestine kwa vitendo (siyo kama Saudi Arabia na Waarabu wengine)
2- Hofu ya kuwa mfano wa Iran wa kujitegemea wenyewe utaigwa na madola mengine ya Mashariki Ya Kati, na hivyo kuathiri udhibiti wa Marekani wa eneo hili.
3- Kuwepo taifa lililo sawa kwa nguvu za kijeshi na Israel katika Mashariki ya Kati
Utaona kwamba suala la nuklia ni kisingizio tu. Kama unaona habari hizi hazikuhusu, fikiria tena. Iran siyo a 'push over' kama Iraq. Wairan- usi wa confuse na Waarabu- ni watu wenye ari kubwa ya kupigania nchi yao. Mfano ni katika vita vya Iran Iraq. Iraq ilikuwa inasaidiwa na nchi zote kubwa kwa silaha, na Waarabu kwa fedha. Iran ilikuwa pekee ikiwa na vikwazo vya silaha. Lakini ikaweza kumshinda Saddam na lau si kujiingiza Marekani dhahiri wangefika Baghdad, a la Tanzania!
Ninachotaka kusema ni kuwa itakapotokea vita, amini kuwa visima vyote vwa mafuta Mashariki ya Kati vitachomwa moto, na Israeli itashambuliwa kwa maelfu ya makombora- Israel itajibu kwa silaha za nuklia......
vita ya III ya dunia imeanza!
Vyovyote itakavyokuwa, kama Iran inamatamanio ya kutengeneza silaha za nyuklia, basi asiruhusiwe. Huwezi kumruhusu kichaa akawa na silaha kama hizo. Kama hana matamanio wamuache!!!!!
Wapalestina hawana haki? Unaishi wapi wewe? Hebu mwulize Membe.
Kwa kifupi, Azimio la Umoja wa Mataifa 242 linasema: Israel inabidi kuondoka katika maeneo yote iliyoyateka mwaka 1967.
Jee unapinga Umoja wa Mataifa (UN)? Kama si Umoja wa Mataifa pasingekuwepo Israel, kwa sababu ni UN ndiyo iliyotoa uamuzi wa kugawa Palestina, nusu ya Wayahudi na Nusu ya Waarabu mwaka 1947.
Huwezi kukubali uamuzi huo, ukakataaa huu (unless, tena, UDINI). Hata huo UDINI nishazungumza hapa kuwa usi confuse Wayahudi na Ukristo. Infact, Uislamu uko karibu zaidi na Ukristo kuliko Uyahudi na Ukristo. At least, Waislamu wanamkubali Yesu, Wayahudi hawakubali haata kama alizaliwa na wanamwita bi Maria (m) ...shakum......
Zaidi ya hayo, maeneo yote matakatifu ya Wakristo huko Palestina, ukitoa Jerusalem, Myahudi kaishawarudishia Wapalestina, kuonesha kuwa hataki kujihusisha na Ukristo. Maeneo kama Bethlehem, Nazaret nk. Kuna Wakristo wengi zaidi katika maeneo waliyonayo Wapalestina hivi sasa kuliko katika maeneo ya Wayahudi.
Na kama watetea Israel kwa misingi hiyo, hebu nenda leo Tel Aviv na Biblia yako uhubiri wazi kwa Waisrael uone kitu gani kitakufika! Baadhi ya mambo kwa kweli ni ujinga. Pana haja ya kusafiri!
Kwa kifupi, si mapenzi au kusahau matatizo ya wengine. Hayo matatizo mawili uliyoyataja pia yanafuatiliwa na wapenda hakii duniani. Utafahamu kuwa hayo yamekuja baadaye katika international affairs kuliko hili. Pili hili la Palestina linahatarisha amani ya dunia. Hakuna amani ya dunia inayohatarishwa na matatizo uliyoyataja.
Kinachotia wasi wasi ni kuwa 'hutambui' haki za Wapalestina, kama unavyosema, matatizo ya kujitakia wenyewe. Kweli wewe ni mpenda haki? Unaonaje mtu akija nyumbani kwako akamchukua mkeo na watoto wako na kuwafukuzilia mbali na akaleta familia yake, utakubali?
Kuna Wapalestina milioni 3 walifukuzwa nyumbani kwao tangu 1948 wakati dola la Israel lilipozaliwa, na sasa wanaishi katika mahema ya wakimbizi Lebanon na Syria baada ya ardhi na nyumba zao kuhodhiwa na Wayahudi ambao hata hawakuzaliwa Palestina, wameletwa kutoka Russia, Poland na sehemu nyingine?
Utasema nini ikiwa Wajerumani waliokuwa Tanzania miaka 1900 leo watoto wao warudi na waseme wana haki ya Wilaya ya Usambara kwa vile babu zao waliishi huko miaka 100 iliyopita utakubali? Hukubali. Na hii ni miaaka 100 tu iliyopita. Wayahudi wanasema wana haki ya Palestina kwa vile babu zao waliishi huko miaka 2000 iliyopita!
Lazima ufahamu, kuna Wayahudi wa Mashariki ambao walibakia Palestina mika yote hii, hawa Waarabu hawana matatizo nao. Wenye matatizo ni Wayahudi wa Magharibi ( Ashkenazi) ambao walikuwa raia wa mataifa mengine kwa miaka maelfu na maelfu na leo wanarudi kudai Palestina.
Nadhani hii kwa muhtasari imekupa maelezo ya tatizo hili.
...................... Kwani Wamerikani waliwahi kuwa na akili lini ? HIROSHIMA na NAGASAKI walitumia akili au Masaburi ? kwanini utishika na Mtu asiye na hiyo silaha na wala hana Historia ya kutumia silaha mbaya ! (Vita vya Irag/Iran) Sadam alitumia GAS, Israel inatumia mpaka mabomu yanakatwazwa na UN kuwapiga wtu wenye silaha za kutengeneza kwenye "Karakana"Vyovyote itakavyokuwa, kama Iran inamatamanio ya kutengeneza silaha za nyuklia, basi asiruhusiwe. Huwezi kumruhusu kichaa akawa na silaha kama hizo. Kama hana matamanio wamuache!!!!!
....................... Sasa ndo kusema "Mungu kabila yake ni Myahudi eeeeeh !" ............ daaah ! wenzetu nyiee ! Haya bana, waambie UN wapitishe resolution ya kugawa hilo shamba !:A S embarassed:Ndugu Israel ni kama my second homeland. nimekwenda na niliishi Israel. Na hili si swala la udini. the so called palestine land is the land of Israel. soma historia nenda kwenye museum zao ndo utaelewa nasema nini. Wamuamini na wasimuamini Yesu bado nendo la Mungu litabaki kuwa kweli kwamba Yesu alikuwa muyahudi. Na sababu za wao kumkataa ni ili mimi na wewe pia tufaidi utamu wa kumjua Yesu(najua unielewi pengine ninaposema hivyo).
Narudia tena maneno ya Newt gingrich kuwa wapalestina in 'inveted people' na siku moja ulimwengu utajua ni kwa sababu gani hawa wapalestina wanadai kitu kisicho chao.
"Kwa takwimu hizi za jujuu basi IRAN inaweza kuwasumbua maadui zake"
Iran Military Strength
Iran Military Strength Detail by the numbers.
12
Record Last Updated: 6/30/2011 | Authored by Staff Writer
PERSONNEL
Total Population: 77,891,220 [2011]
Available Manpower: 46,247,556 [2011]
Fit for Service: 39,556,497 [2011]
Of Military Age: 1,392,483 [2011]
Active Military: 545,000 [2011]
Active Reserve: 650,000 [2011]
LAND ARMY
Total Land Weapons: 12,393
Tanks: 1,793 [2011]
APCs / IFVs: 1,560 [2011]
Towed Artillery: 1,575 [2011]
SPGs: 865 [2011]
MLRSs: 200 [2011]
Mortars: 5,000 [2011]
AT Weapons: 1,400 [2011]
AA Weapons: 1,701 [2011]
Logistical Vehicles: 12,000
AIR POWER
Total Aircraft: 1,030 [2011]
Helicopters: 357 [2011]
Serviceable Airports: 319 [2011]
RESOURCES
Oil Production: 4,172,000 bbl/Day[2011]
Oil Consumption: 1,809,000 bbl/Day[2011]
Proven Reserves: 137,600,000,000 bbl/Day [2011]
Sources: US Library of Congress; Central Intelligence Agency
LOGISTICAL
Labor Force: 25,700,000 [2011]
Roadway Coverage: 172,927 km
Railway Coverage: 8,442 km
FINANCIAL (USD)
Defense Budget: $9,174,000,000[2011]
Reserves of Foreign Exchange & Gold: $75,060,000,000 [2011]
Purchasing Power:$818,700,000,000 [2011]
GEOGRAPHIC
Waterways: 850 km
Coastline: 2,440 km
Square Land Area: 1,648,195 km
Shared Border: 5,440 km
NAVAL POWER
Total Navy Ships: 261
Merchant Marine Strength: 74[2011]
Major Ports & Terminals: 3
Aircraft Carriers: 0 [2011]
Destroyers: 3 [2011]
Submarines: 19 [2011]
Frigates: 5 [2011]
Patrol Craft: 198 [2011]
Mine Warfare Craft: 7 [2011]
Amphibious Assault Craft: 26 [2011]

Mkuu wauaji wa Palestina wakubwa alikuwa King Hussein wa Jordan wakati alidai wakimbizi wa kipalestina wanahujumu utawala wake alitumia vifaru kuangamiza maelfu kwa maelufu watu waliokuwa hawana siraha.Tatizo la mwarabu akiua waraarabu wenzake linaonekana kosa dogo lakini Yaudi akiwa waarabu yaani wapelestina kidogo basi waarabu na wafuasi wao watahamaki sana.Udharimu ni udharimu kwa yeyote anayefanya hivyo.
.............. hebu tujuze Wapalestine walijitakiaje matatizo !!?Mmmh hoja zinazotawaliwa na mapenzi zinakuwa na matatizo sana,hivi dunia hii ni wapalestina pekee ndiyo wanadhulumiwa haki zao ? Vipi wakurd ? Vipi watu wa sahara magharibi ? etc,lakini ni kwanini dunia nzima imewapa mgongo wengine wenye shida kubwa kuliko hata wapalestina na kushupalia palestina ambayo kimsingi hakuna matatizo kwani wapalestina matatizo yao kwa kiasi kikubwa ni ya kujitakia.
............. Na Marekani nayo inalindwa na NANI !?Lakini Israel hailindwai na Marekani ujue, ila inalindwa na Mungu Yehova-Shalom!