Uchaguzi 2020 U.S. Senate: Disturbing 'trend' of opposition party leaders in Tanzania being arrested leading up to Oct. Elections

Ni kweli wanachukua muda ila wanamvutia kasi hivyo ni swala la muda tu.
Wanaogopa wasije kupigiwa kelele na jumuia ya kimataifa, wanavuta muda.

Ndio maana wanaandika kwenye Tweeter kila ovu linalotendeka, hatujui wamepanga zifikeTweets ngapi ndio watume drone, tuendelee kuomba rehema.
 
Kuua weusi ni sera ya serikali ya marekani..
Unajua miji miwili iliyopigwa mabomu yenyw biashara za weusi?

Ijuwe marekani bro... sio ya cnn na fox
Tofautisha kati ya makosa yanayofanywa na mtu binafsi na makosa yanayofanywa kwa maelekezo ya serikali au kubarikiwa na serikali.
 
Unajua wangapi ambao wameuawa bila kesi?

Hii ni kwa ajili ya video kwenda viral tu....

Na hata kushtakiwa kwao kulitokana na shinikizo la maandamano...

Ama unajilazimisha upofu ama huelewi...

Wako kati ya wale wa4 wanatembea mitaani furiiiii

Wajue wazungu....

Baada ya Floyd wangapi wameendelea kufa?

Waafrika zaidi ya wa4 wamenyongwa baada ya Floyd.
Kwa Tz waliouawa ni wangapi??
 
U.S. Senate Foreign Relations.

Yesterday's arrests of @zittokabwe, Tanzanian opposition party leader of @ACTwazalendo, and several members of his party reflect a deeply disturbing trend of opposition party leaders and journalists in #Tanzania being arrested on contrived charges leading up to Oct. elections. :- Sen. Jim Risch, R. Idaho. Committee Chairman.

View attachment 1488178
========

Kwa utetezi wowote ule tutake tusitake vitendo hivi vinaleta picha mbaya kwa nchi yetu.

Jamaa (mabeberu) wanakusanya data taratibu hadi kufikia ujio wa Lissu hata wakiamua kutunyoa tayari watakuwa na cha kuiambia dunia.
Hivi kulikua na umuhimu wowote wa kuwakamata Akina Zito huku Pole pole akiendelea na Mikutano Mbeya na kwingineko? Polisi watumie basi hata akili ya kawaida tu
 
Ni kweli wanachukua muda ila wanamvutia kasi hivyo ni swala la muda tu.
Lakini lazima kuwe na deliberate move ya kuwahimiza kutenda kuliko kusema. Watu waende hata huko USA wakutane nao wazungumze namna ya kushinikiza watu watende haki. Maneno matupu Jiwe hatayasikia.
 
Hivi kulikua na umuhimu wowote wa kuwakamata Akina Zito huku Pole pole akiendelea na Mikutano Mbeya na kwingineko? Polisi watumie basi hata akili ya kawaida tu
Polisi wanapokea amri, wasilaumiwe, alaumiwe Jiwe, ndiye anatoa maagizo haya . Kama siyo yeye angeliyaqkemea yakakoma. Let us not be short sighted in these simple issues!
 
Polisi wanapokea amri, wasilaumiwe, alaumiwe Jiwe, ndiye anatoa maagizo haya . Kama siyo yeye angeliyaqkemea yakakoma. Let us not be short sighted in these simple issues!
Mbona majirani zetu waanauwezo wa kugomea amri ambazo si halali? No, lazima nao wabebe sehemu ya huu ujinga na ujuha unaondelea
 
Juhudi ndiyo hizi zineanza

1,Lissu kugombea urais, kubwa zaidi kurudi nchini, wamkamate kama alivyosema polisi yule, WAONE KITAKACHOTOKE.

2.Membe kugombea kupitia chama chochote, wamguse ANUKE,
Anaushawishi wa kimataifa, hata ivo ccm hawajui kuwa yawezekana mpango wa membe unaasisiwa kimataifa.
MUDA NI HAKIMU
Sawa lakini mtanzania wa kawaida atanufaikaje na mpango wa kina Membe?
 
U.S. Senate Foreign Relations.

Yesterday's arrests of @zittokabwe, Tanzanian opposition party leader of @ACTwazalendo, and several members of his party reflect a deeply disturbing trend of opposition party leaders and journalists in #Tanzania being arrested on contrived charges leading up to Oct. elections. :- Sen. Jim Risch, R. Idaho. Committee Chairman.

View attachment 1488178
========

Kwa utetezi wowote ule tutake tusitake vitendo hivi vinaleta picha mbaya kwa nchi yetu.

Jamaa (mabeberu) wanakusanya data taratibu hadi kufikia ujio wa Lissu hata wakiamua kutunyoa tayari watakuwa na cha kuiambia dunia.
Mwambieni atulize makalio tuko bize na maendeleo ya nchi yetu

Sent from my itel W5001P using JamiiForums mobile app
 
Mnajuaga kujazana upepo

Kwani yule mama wa ubarozi wa marekani si ameondoka!!!!kwa matamkoz yake nilidhani siku anaondoka hapa nchi inaingia shimoni.
Matamko ya balozi hufanyiwa kazi na serikali yake sio yeye, mojawapo ni Bashite kupigwa ban kuingia Marekani.
 
U.S. Senate Foreign Relations.

Yesterday's arrests of @zittokabwe, Tanzanian opposition party leader of @ACTwazalendo, and several members of his party reflect a deeply disturbing trend of opposition party leaders and journalists in #Tanzania being arrested on contrived charges leading up to Oct. elections. :- Sen. Jim Risch, R. Idaho. Committee Chairman.

View attachment 1488178
========

Kwa utetezi wowote ule tutake tusitake vitendo hivi vinaleta picha mbaya kwa nchi yetu.

Jamaa (mabeberu) wanakusanya data taratibu hadi kufikia ujio wa Lissu hata wakiamua kutunyoa tayari watakuwa na cha kuiambia dunia.
Waachane na mambo yetu ya ndani, wapambane kuzuia mauaji ya mtu mweusi
 
Matamko ya balozi hufanyiwa kazi na serikali yake sio yeye, hiyo in pamoja na Bashite kupigwa ban kuingia Marekani.
Bashite mara ya mwisho kwenda US ni lini achana na boss wake.

Ndio kwanza anazidi kunenepa,kwanza ilitakiwa mshuru maana kodi za wananchi zingeendelea kupotea hovyo.badala ya kuona ni kama hasara.
 
Back
Top Bottom