Uchaguzi 2020 U.S. Senate: Disturbing 'trend' of opposition party leaders in Tanzania being arrested leading up to Oct. Elections

Unajua wangapi ambao wameuawa bila kesi?

Hii ni kwa ajili ya video kwenda viral tu....

Na hata kushtakiwa kwao kulitokana na shinikizo la maandamano...

Ama unajilazimisha upofu ama huelewi...

Wako kati ya wale wa4 wanatembea mitaani furiiiii

Wajue wazungu....

Baada ya Floyd wangapi wameendelea kufa?

Waafrika zaidi ya wa4 wamenyongwa baada ya Floyd.
Na hatua zinachukuliwa siyo tz hii, polisi wanafuata mawazo ya mgogo ndugai kuwa mbowe alilewa na sasa wanataka wamburuze mahakamani shame on polisi tz
 
Unajua wangapi ambao wameuawa bila kesi?

Hii ni kwa ajili ya video kwenda viral tu....

Na hata kushtakiwa kwao kulitokana na shinikizo la maandamano...

Ama unajilazimisha upofu ama huelewi...

Wako kati ya wale wa4 wanatembea mitaani furiiiii

Wajue wazungu....

Baada ya Floyd wangapi wameendelea kufa?

Waafrika zaidi ya wa4 wamenyongwa baada ya Floyd.
Wameshtakiwa baada ya shinikizo, huku kwetu ukishinikiza ndio unaharibu kabisa.
 
Hakika nchi yetu "inanuka" huko kwenye jumuia ya kimataifa
Mkuu Mystery ,juzi nilitembelewa na rafiki zangu wawili kutoka "Ulitsa Miklukho-Maklaya", mmoja ni Mcongoman na mwingine ni Msudani.
Wamesikitika kwa yanayoendelea huko Tanzania mpaka hatua ya kuuliza ni nini kimeipata Tanzania ya Mwalimu!?
 
Unajua wangapi ambao wameuawa bila kesi?

Hii ni kwa ajili ya video kwenda viral tu....

Na hata kushtakiwa kwao kulitokana na shinikizo la maandamano...

Ama unajilazimisha upofu ama huelewi...

Wako kati ya wale wa4 wanatembea mitaani furiiiii

Wajue wazungu....

Baada ya Floyd wangapi wameendelea kufa?

Waafrika zaidi ya wa4 wamenyongwa baada ya Floyd.
Tofautisha kati ya makosa yanayofanywa na mtu binafsi na makosa yanayofanywa kwa maelekezo ya serikali au kubarikiwa na serikali.
 
Labda CCM wamesahau Wamarekani walichomfanyia yule Generali wa Irani...
Walimtumia tu drone iliyompelekea kunakojulikana na wengi wetu humu- Anga za Juu kwa Mwenyekiti wa Ulimwengu na ahera..
msije Sema hamkuambiwa... watamdonyoa tu bila madhara yoyote...

Decisions for Tanzania by international community has been made. Implementations waits unequivocal justifications.

Msije mkasema hatukuwaambia. Tanzania haipo anga za juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila nikimwangalia jiwe naishia kumuona akimalizia maisha gerezani na hawa wapambe mbuzi wake wakiendelea na maisha yao kwa kubadili mwelekeo kama sio wao vile.
Lakini DJ mlevi wa konyagi ataendelea kupeta tu.
 
Kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kulala. USA pamoja na UK wafanye yao sisi tunafanya yetu. Tanzania ni nchi huru na sheria zipo wahalifu wanachukuliwa hatua Period!
 
Back
Top Bottom