U.S. Government shuts down

U.S. Government shuts down

si mr fast jet ametoka huko kuomba hela
 
U.S. President and members of Congress will continue to receive their paychecks despite federal government shutdown.
 
Si kwamba pesa zimeisha ila bajeti yaijapitishwa na sharia inakataza kutumia pesa bila kupitishwa na bunge.
 
Marekani gizani, mshahara wa Obama wasimamishwa
------------------------------
Ikulu ya Marekani White House imetoa amri ya kufungwa baadhi ya mashirika ya serikali... Amri hiyo ya kufungwa baadhi ya taasisi za serikali ya Marekani ilitolewa jana dakika kumi kabla ya serikali kuishiwa rasmi na fedha za matumizi... Vilevile thuluthi mbili ya wafanyakazi wa serikali akiwemo Rais Barack Obama, watalazimika kufanya kazi bila ya malipo hadi mgogoro wa bajeti kati ya Warepublican na Wademokrat utakapotatuliwa.
Soure Aljazeera.
U.S.President has constitution duties,so he will remain in office during the shutdown.His salary is not reliant on the annual fight the congress has over funding the federal government.
He will continue to receive his paychecks as schedule.
 
just now.source cnn.

Nimeiona pia hapa kwenye series ya taarifa zao aljazeera. Nimewakubari sana wenzetu kwa misimamo yao katika masuala ya kitaifa. Mpaka kufikia hatua ya kusitisha mshahara wa raisi ilikuwa ujasiri wa hali ya juu sana.
 
Bora JK atapunguza trip za Marekani
 
Si kwamba pesa zimeisha ila bajeti yaijapitishwa na sharia inakataza kutumia pesa bila kupitishwa na bunge.

Mkuu, nilichanganyikiwa kwa muda kwamba Marekani inaongozwa na sharia kabla sijagundua kwamba huenda ilikuwa typing error.
 
Washington (CNN)
In an extended shutdown, most of the federal workforce would go without pay, but the checks will keep coming to the 533 current members of Congress.

"That is disgraceful in my view," said freshman Rep. Tulsi Gabbard, D-Hawaii, told CNN. "Basically the only people who get paid in a shutdown are members of Congress, and that is irresponsible."
Gabbard plans to send any pay she receives during a shutdown back to the Treasury. The combat veteran said she was shocked to find out recently that members' pay is protected.
It is -- by the Constitution.
The 27th Amendment to the Constitution restricts any Congress from changing its own pay. The measure was proposed in the first days of the Republic but was not ratified until 1992, after a grass-roots movement promoted the idea and the necessary number of state legislatures approved it.
While many may have wanted to restrain Congress from increasing its pay, the amendment also blocks Congress from freezing or cutting its compensation.
The result? Congress gets paid no matter what. Gabbard is not the only member surprised.

Washington (CNN) -- In an extended shutdown, most of the federal workforce would go without pay, but the checks will keep coming to the 533 current members of Congress.
"That is disgraceful in my view," said freshman Rep. Tulsi Gabbard, D-Hawaii, told CNN. "Basically the only people who get paid in a shutdown are members of Congress, and that is irresponsible."
Gabbard plans to send any pay she receives during a shutdown back to the Treasury. The combat veteran said she was shocked to find out recently that members' pay is protected.
It is -- by the Constitution.
The 27th Amendment to the Constitution restricts any Congress from changing its own pay. The measure was proposed in the first days of the Republic but was not ratified until 1992, after a grass-roots movement promoted the idea and the necessary number of state legislatures approved it.
While many may have wanted to restrain Congress from increasing its pay, the amendment also blocks Congress from freezing or cutting its compensation.
The result? Congress gets paid no matter what. Gabbard is not the only member surprised.

Source: CNN
 
hivi wanafanya nini ?? mimi hata siwaelewi , wenye ujuzi na haya masuala ebu tupeni somo in lay man language ..... hizi lugha za shuti down na likizo bila malipo mbona hazieleweki eleweki?
 
Politics is a dirt game. Obamacare is much better for the middle and the poor, but it takes away the interest of the republicans' funder. Republicans are fighting to serve their own interest not for americans. I am not sure if ccm has the same view

Poor people especially black na Spanish car insurance yenyewe kazi ndio wataweza lipa 300 dollar a month .Medicare and Medicaid ilikuwa I nawasaidia sasa hivi wakiumwa tu hata emergency hawatotibiwa .IRS in charge of health care Watu wataenda Jela hizo interest wasupoonyesha risiti wamelipa insurance .Sioni itawasaidia vipi poor people at all
 
hivi wanafanya nini ?? mimi hata siwaelewi , wenye ujuzi na haya masuala ebu tupeni somo in lay man language ..... hizi lugha za shuti down na likizo bila malipo mbona hazieleweki eleweki?

America Ina 3 branches of government .Na congress Ina power zaidi ya Raisi .obama yeye ni signature na ana uwezo wa KU issue executive order kwa vitu vichache .
 
Poor people especially black na Spanish car insurance yenyewe kazi ndio wataweza lipa 300 dollar a month .Medicare and Medicaid ilikuwa I nawasaidia sasa hivi wakiumwa tu hata emergency hawatotibiwa .IRS in charge of health care Watu wataenda Jela hizo interest wasupoonyesha risiti wamelipa insurance .Sioni itawasaidia vipi poor people at all

Pamoja na hivyo ila this affordable health care act is a great thing that need a praise to the US gov. Ukija angalia documentary ya michael ndiyo utagundua jinsi ambavyo republican walivyo na maslahi binafsi kwenye afya za wa US.
 
Ni utaifa au ni nini kwa taifa kubwa la marekani serikali yake kusimamishwa kiutendaji na repablican,? Hapa bongo si wangefutwa?
 
Hizi habari zina ukweli kiasi gani wakuu? Kuna mtu kanitumia message eti Marekani hakuna chochote kinaendelea. Au ndiyo mwisho wa dunia wenyewe?
 
Back
Top Bottom